MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,784
- Thread starter
- #41
Tumeanza kufufuka kwenye uongozi wa rais Magufuli.
Kivipi mkuu?
Tumeanza kufufuka kwenye uongozi wa rais Magufuli.
Kivipi mkuu?
VIONGOZi wengi wa kiaftika Ni watu wa hivyo kabisa,sio sifa kukubali na VIONGOZi wa afrika.ingekua wananchi sawa.Naona tunaelekea kuzuri! viongozi wengi wa kiafrika wanamkubali Magufuli! tayari huu ni ushawishi mzuri kwa mtazamo wangu.
Tiss inabakia kuwa taasisi bora zaidi chini ya jangwa la sahara hao Rwanda na kenya wanafanya vitu ambavyo Tz ilifanya miaka ya nyuma (kutafuta ushawishi)ni mipango tu..naona nchi kama rwanda yenyew ni nchi ndogo ana lakin unaweza ukaona wana ambition ya kudominate pengine eneo lote hili la maziwa makuu kama mtu unaweza kusoma movements zao...................mi naona hawa jamaa wana ambitions za hatari kwe eneo hili na kwa jinsi walivyo serious lazima wataleta.......kngne pia nchi zetu znaweza kuwa na uwezo mzuri tu wa kijasusi lakin issue inaweza kuwa tunatumiaje uwezo huo kwa mfano C.I.A na K.G.B wote walikua wazuri lakin C.I.A pampja na mambo mengne lakn walifanikiwa sana kueneza ushawish wa marekan kwe nchi nyng pamoja na kufanya sana ujasus wa kiuchumi hata marafiki zake wa ulaya na hii ilsaidia kuboost uchumi wa nchi lakn K.G.B walijikita sana kwe ujasu wa mambo ya kijeshi pamoja na kueneza ucommunist na hii ilisaidia nchi kuwa taifa kubwa lenye ushawish na uwezo wa kujilinda lakin haikusaidia nchi kiuchumi...........kwa nchi yetu sisi hapa ukiangalia tulipotoka na mambo meng tulioyafanya kusaidia nchi zngne enz za kupigania uhuru basi ni wazi inatakiwa tuwe very active kwe foreign intelligence ili tuwe na ushawish na nchi ambazo tulizisaidia na tusibaki tu kuwa na sifa za tulisidia cjui ukomboz but hao tuliowasaidia leo hii hatuna ushawsh kwe hzo nchi.................km kanchi km rwanda kanajiongeza kwann cc tunanchi kubwa na rasilimali kibao tusiweze? ni mipango tu hasa jesh letu na intelligency maana wao wapo kila cku but ila hizi sirikali zetu hubadilika kisiasa.........