Hivi ni mtangazaji gani anayekuvutia

Hivi ni mtangazaji gani anayekuvutia

Naowakubali:
1.Aboubakary sadiq
2.Rose Chitara
3.H.A.B.I.B (zamani 101.4 FM)
4.John Dilinga Matlou( 14 16)
5.Monita Rajpal

Siwafagilii.
1.Diva
2.

hivi huyo H.A.B.I.B Habib yuko wapi? namkubali huyo jamaa! namna alivyokuwa pia anataja jina lake matata sana! Seba wa EA radio nae yuko vizuri sana!
 
wanao nivutia ni
Godwin Gondwe
Fatma Almasa Nyangasa
Sam Mahela
Wanaoniboa ni Esther Sangai na Albert Nitwa
 
Watanzaji wote wa TBC huwa nasikia kinyaa nikiwasikiliza....

Wanaonivutia
Sebastian......EA Radio
Fina Mango......Magic Fm
Kikeke.....BBC


Napingana na wewe hapo kwa watangazaji wa TBC...
Hata kama tunaichukia hio redio haimaanishi kuwa watangazaji wake woote ni uharo...
Sidhani kama hao akina Sebastian, Fina Mango na hata huyo Kikeke wanamfikia Masoud Masoud...

Njoo tena na uharo, mie kopo la chooni utanikuta tu
 
Hii ni taarifa ya habari kutoka radio Tanzania, Dar Es Salaam.

Na msomaji wenu, Elli Mboto.

Nani anae kumbuka hayo?
 
Nani anaekumbuka mazungumzo baada ya khabari?

Binaadam wazima na faham zao, huishi kama wanyama mwituni, ambao uhai wa maisha ya kila mmoja wao, hutegemea ukali wa meno yake na urefu makucha yake.

Ubepari ni unyama, uhasama, uhasama uhasama.
 
the Best kwangu ni Shida Masamba, Shaaban Kisu, Sued Mwinyi, Nyambona Masamba, Betty Tesha Mwinuka, Asheri Chilewa, Masoud Masoud, Aloisia Maneno na Malima Ndelema...

ushuzi washatajwa hapo juu...
 
Nani anaekumbuka mazungumzo baada ya khabari?

Binaadam wazima na faham zao, huishi kama wanyama mwituni, ambao uhai wa maisha ya kila mmoja wao, hutegemea ukali wa meno yake na urefu makucha yake.

Ubepari ni unyama, uhasama, uhasama uhasama.
Mabepari wanaua tembo, faru, ...., wanaiba kura. Na mimi nimeanza kuamini kweli ubepari ni unyama.
 
Nani anaekumbuka mazungumzo baada ya khabari?

Binaadam wazima na faham zao, huishi kama wanyama mwituni, ambao uhai wa maisha ya kila mmoja wao, hutegemea ukali wa meno yake na urefu makucha yake.

Ubepari ni unyama, uhasama, uhasama uhasama.


Ilikuwa ikiisha hiyo unakuja ule mngurumo wa matangazo ya vifo...dah
 
Tonton Zuberi Msabaha na Fredwaaa wa Rfa wananikosha sana.
 
Kuna mdada clouds anajiita relationships counsellor, anatangaza kuanzia saa nne usiku nadhani. Anaboa manake wala hana sauti nzuri ya kudeka, anajilazimisha basi anaongea kama anakata roho na kuhema ovyo. Sijui anaitwa nani.
 
Mtangazaji SELEMAN PHARLES wa MLIMANI TV BEATS REGGAE :
 
Last edited by a moderator:
Kuna mdada clouds anajiita relationships counsellor, anatangaza kuanzia saa nne usiku nadhani. Anaboa manake wala hana sauti nzuri ya kudeka, anajilazimisha basi anaongea kama anakata roho na kuhema ovyo. Sijui anaitwa nani.

unajua sana jina lake! Adi mda wa kipindi chake unajua!? Enewei, anaitwa Diva Loveness Love (Loveness Malinzi)
 
Kuna mdada clouds anajiita relationships counsellor, anatangaza kuanzia saa nne usiku nadhani. Anaboa manake wala hana sauti nzuri ya kudeka, anajilazimisha basi anaongea kama anakata roho na kuhema ovyo. Sijui anaitwa nani.

Loveness love Malinz aka diva mtoto wa kitanga....
 
Back
Top Bottom