Hivi ni mtangazaji gani anayekuvutia

Hivi ni mtangazaji gani anayekuvutia

TANZANIA KUNA WATANGAZAJI WENGI WA REDIO UKIWASIKILIZA HUWA WANAKUVUTIA NA WAPO WENGINE UKIWASIKILIZA WANAKUBOA KWANGU MIE

WANAONIVUTIA WATANGAZAJI HAWA....

1.arthony joseph....huyu ni wapo redio fm

2.rita william chualo.....wapo redio fm

3.sam mahela ........wa i.t.v

[color=red4].fatma julius nyaisanga......wa i.t.v....[/color]

5.dokta. issack maro.......kipindi cha njia panda ....clous fm

wanaoniboa....
1.adam mchomvu

2.gerald hando.....

je wewe ni nani nayekuvutia ni nani anayekuboa....

hapo kwenye red sidhan kama kuna mtangazaji wa aina hiyo,
nikirud kwenye mada,,,siku hizi hakuna watangazaji bhana kuna waropokaji,,,,,katika list yako hapo ulotaja ukiacha namba 4 na 5,,,ambapo namba 5 c mtangazaji kiuhalisia
 
Mohamed abdulrahman,othman miraj,umul kher(cna hakika linavoandkwa)
 
aisee wanaonivutia ni;

1.Salama J
2.Millard Ayo
3.Abdallah Ambua"mjukuu"
4.Mussa Hussein

wanaoniboa
1.shaffih dauda na kigugumizi chake
2.Kibonde ujuaji mwingi hata asipojua
3.Dj Fetty kucheka cheka kama malaya alieona pesa

hao hao kwanza alafu nitarudi
 
Napenda sana nikimsikiliza Millard Ayo making my exprience good.

Nachukia sana kumsikiliza Rweyunga
 
Nampenda pia Bernard James wa Star Tv; Angello Moleka; Stumai George; Baruan

I.hate also Paul Mabuga and Malin Hassan
 
Hivi huyu Rehema Salim wa ITV huwa haumuoni au wivu umewazidia? toto bomba lile mashalaaah!!!!!!!!!
 
Abdalah Mwaipaya
Fatma Almas
Zainab Chondo
Gadna G
Millard Ayo japo siipendi clouds
tbc inaboa sana
hao wte nawakubali sna + Samadu Hassan star tv kama sikosei vile na kuna mzee mja anaitwa some body Bale wa UBC
 
TANZANIA KUNA WATANGAZAJI WENGI WA REDIO UKIWASIKILIZA HUWA WANAKUVUTIA NA WAPO WENGINE UKIWASIKILIZA WANAKUBOA KWANGU MIE

WANAONIVUTIA WATANGAZAJI HAWA....

1.arthony joseph....huyu ni wapo redio fm

2.rita william chualo.....wapo redio fm

3.sam mahela ........wa i.t.v

4.fatma julius nyaisanga......wa i.t.v....


5.dokta. issack maro.......kipindi cha njia panda ....clous fm

wanaoniboa....
1.adam mchomvu

2.gerald hando.....

je wewe ni nani nayekuvutia ni nani anayekuboa....

hapo kiongozi umechapia, hakuna mtangazaji wa jina Hilo ITV Labda unamaanisha FATMA NYANGASA!!!
 
TANZANIA KUNA WATANGAZAJI WENGI WA REDIO UKIWASIKILIZA HUWA WANAKUVUTIA NA WAPO WENGINE UKIWASIKILIZA WANAKUBOA KWANGU MIE

WANAONIVUTIA WATANGAZAJI HAWA....

1.arthony joseph....huyu ni wapo redio fm

2.rita william chualo.....wapo redio fm

3.sam mahela ........wa i.t.v

4.fatma julius nyaisanga......wa i.t.v....

5.dokta. issack maro.......kipindi cha njia panda ....clous fm

wanaoniboa....
1.adam mchomvu

2.gerald hando.....

je wewe ni nani nayekuvutia ni nani anayekuboa....

we mlokole si bure
 
Back
Top Bottom