Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
Basi nikiwa mdogo nilikuwa naambiwa kuwa huo muungurumo ni mlango wa mourtuary unafunguliwa! Du!
Hah hah hah dah walikuokota kweli...
Basi nikiwa mdogo nilikuwa naambiwa kuwa huo muungurumo ni mlango wa mourtuary unafunguliwa! Du!
Wanaonivutia Barbara Amin Hassan
B dozen
G Hando
P J
Mbwinga
Soudy Brown
Diva
Kikeke
Fetty
Mchomvu
Wasiwasi
Ayo
Geah
Alex Lwambano
Maestro
Wananivutia sana watu hawa.
WANAONIBOA ni SAM MISAGO nahis hata kichefuchefu kuandika jna lake
Wanaonivutia Barbara Amin Hassan
B dozen
G Hando
P J
Mbwinga
Soudy Brown
Diva
Kikeke
Fetty
Mchomvu
Wasiwasi
Ayo
Geah
Alex Lwambano
Maestro
Wananivutia sana watu hawa.
WANAONIBOA ni SAM MISAGO nahis hata kichefuchefu kuandika jna lake
Jaklieeeen sileeem wa Itv. (Ananiboa sn ,anavuta ulimi uliojaa mate km anatokosa maharagwe) ,UFO saro namchukia kwasabab alichangia kuua mme wake..kila nikimuona ma
we timu ruge!! nimekusoma!
Anko J (r.i.p)
David Wakati .......... sijui kama bado yuko hai.
Baraza (kenya) ........... "
Baba wanne ( mstaafu wa ITV)
Watanzaji wote wa TBC huwa nasikia kinyaa nikiwasikiliza....
Wanaonivutia
Sebastian......EA Radio
Fina Mango......Magic Fm
Kikeke.....BBC