Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,873
ahahahhahahhahahhahaah juice ya maperaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
yan ujue amenivuruga akili!saaaaasa hapo si ni mwishon ndo anaimwagia juice ya maperaa banaaa!
mwanzoni anakuwa ameweka nini?
anafungia POP? Kaizer kuja huku ufundishe ,kila siku mwalimu tu ndo akupe mapwenti!
tumetoka semina ya competence based,mwanafunzi anaruhusiwa kutoa his/her prior knowledgeS!
subutu...nikuuzie ramani ya vita? lol