kwa hiyo hiyo miezi unayopenda kugegeda na usiopenda kugegeda manzi wako ni huyu huyo
na wa/analizungumziaje hilo hasa wakati hamu inapokutoweka mwe!!!!!
yani mkuu nadhani sense organ moja itakua impaired kwa sabau sense organ zote za mashine kusimama zinahusishwa hadi harufu,sauti ndo usiseme yani unaweza hata badilisha safari na njia ukawa unafaidi kama huyu jamaa(huu ni ushahidi kuwa haya mambo hayana break wala muda)
![]()
Mda wote nakuwa na hamu ya kugegeda, lakini kwenye mwezi August hadi Dec. nakuwa na hamu sana na sometimes inanipelekea kutoka nje ili nisimchoshe mama watoto wangu.
aisee damn it!! ,mimi ukinigusa tu nadisa ,sinaga za msimu kama za mbwa au paka eti hadi jike lichanue!!tena muda mwingine nikisikia tu harufu ya ile kitu hata kama imevaliwa chupi basi mimi huku napata shida..............!!
Mda wote nakuwa na hamu ya kugegeda, lakini kwenye mwezi August hadi Dec. nakuwa na hamu sana na sometimes inanipelekea kutoka nje ili nisimchoshe mama watoto wangu.
haaaaaah! Au ndio kama wale wanaosema ikifka mwezi flani skio/mguu unaoza...kaaaazi kweli kweli kujiaminisha kwenye hli la leo.. Halaf unanchanganya unaposema unakosa hamu ya kubanjuka ilihali nyumbani unaendeleza...!!
ila best we kazi za nje unazipenda!
khaaa!
umewekeza sana aliki huko wala usisingizie mwezi!
aliyekwambia mkeo atachoka nani?
au game yako ya kitoto best!?
utamu wa mdomo mate yako bana!
wa wapi wewe!
af mkubwa wewe ujue!
game langu ni babu kubwa wala si la kitoto.
Mentor usichungulie bhana mwaga mauzoefu hapa..... Nicas Mtei where are you?
ukiwa na game babu kubwa huendi kwa style hio best!
game bab kubwa ina steps!
game bab kubwa ina maandaliz
game bab kubwa ina uchovu bab kubwa
game bab kubwa inakula akili bab kubwa
game bab kubwa inataka msosi bab kubwa
game bab kubwa inataka utayari bab kubwa
game bab kubwa inataka hisia bab kubwa
game bab kubwa inadai mapumziko bab kubwa
JIKAGUE!(hata kimoyomoyo poa tu)
Tabia mbaya inatokea wapi hapo?Mi sijui hayo mambo ya tabia mbaya mie!