Hivi ni mimi tu? au na wengine ni hivyo ....

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,617
Hamjambo waungwana ....

Naomba niulize jamani, kuna kipindi naweza kaa bila kuwa na hamu ya ku-do 6 x 6; na nakuwa hivyo - kwa mda mrefu (japo kwa home naendeleza kama kawaida) Kwenye mwezi August na kuendelea hadi December huwa nakuwa na hamu ya hiyo kitu kupita kiasi hadi nashindwa kujizuia.

Kuna mwingine aliwahi kusikia au kuwa na hali ya hivyo kwenye baadhi ya miezi kama mimi ninavyosumbuka hivi....
 
ish!
kumbe bado nakua!
wanaume nao huwa wana heat periods!(usikasirike bana)
najaribu tu kuwaza!

hv lakin ngoa niulize swali lingine na wanaume huwa mnafake mdiso? Kongosho na Kaunga njooni malovees kuna muda ni nyie tu ndo huwa mnaweza kupress down my evil mind! (depends kuwa wakati huo mnakuwa kwenye urazini kiasi gani!)
 
Last edited by a moderator:

yamekuwa ya heat period tena.
 
Mie kanichanganya kabisa, eti hana hamu huku nyumbani anaendeleza tu.

Sasa huko asiko na hamu ni wapi wakati home anapata kila siku?

Siku hizi wanafekisha na wao, anajimwagia juisi ya mapera ya azam :help:

aisee damn it!! ,mimi ukinigusa tu nadisa ,sinaga za msimu kama za mbwa au paka eti hadi jike lichanue!!tena muda mwingine nikisikia tu harufu ya ile kitu hata kama imevaliwa chupi basi mimi huku napata shida..............!!
 
Mie kanichanganya kabisa, eti hana hamu huku nyumbani anaendeleza tu.

Sasa huko asiko na hamu ni wapi wakati home anapata kila siku?

Siku hizi wanafekisha na wao, anajimwagia juisi ya mapera ya azam :help:
ahahahhahahhahahhahaah juice ya maperaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
yan ujue amenivuruga akili!saaaaasa hapo si ni mwishon ndo anaimwagia juice ya maperaa banaaa!
mwanzoni anakuwa ameweka nini?
anafungia POP? Kaizer kuja huku ufundishe ,kila siku mwalimu tu ndo akupe mapwenti!
tumetoka semina ya competence based,mwanafunzi anaruhusiwa kutoa his/her prior knowledgeS!
 
Last edited by a moderator:
heheheheee viroja hivi, mie naweza itazama tofauti. Hiyo inaweza kuwa inasababishwa na hulka na tabia ulizojijengea kipindi fulani na mwili ukazi adopt na mwisho unakuja jistukia mwili unareact hivyo. Mfano yaweza kuwa wakati unasoma chuo ndo ulikuwa na nafasi ya ku do na mschana wako/girfriend na may be vyuo vinafunguliwa from august na baada ya hapo mnakuwa busy na shule as from January shule inakuwa imepamba moto na mnakwepa sup na kukamilisha course work.
Mtirriko huu kama uliufanya kwa miaka 3 hadi 5 au 7 kwa madaktari basi inaweza kuwa au ni rahisi akili yako kujengeka kuwa huwa unaenjoy sex kipindi ambacho chuo kinakuwa kimefunguliwa na stress ya shule haijaanza na stress ya chuo ikianza kuhusu masomo basi hata kama unasex huinjoy kama unavokuwa free as a molecule. Na inawezekana hali hiyo ndo imekuletea effect hadi sasa ukiwa umeshaoa na nyumba yako.
Ni mtazamo wangu tuu baada ya kuwaza sana ikikuletea shida sana waone matabibu
 
Kuna ukweli ndani ya yale uloyaandika. Nashukuru sana na nimekuelewa vizuri sana.
 
Back
Top Bottom