Hivi ni mimi pekee nateseka na mapenzi?

Hivi ni mimi pekee nateseka na mapenzi?

Ningekuwa Mimi sifikirii hata kumuacha ndo ningetopea zaidi na zaidi nakuwa kama mtu aliefukiwa kiwiliwili kwenye shimo halafu kimebaki kichwa tu ndo kinakodoa..

Hapo akikuacha unafanya ile kitu inaiwa tit for tat.. siku anakuacha ndio siku unaanzisha mahusiano mengine ili uwe bize na mahusiano mengine kuliko kuwa bize maumivu.. wanakwambia Kinga ni bora kuliko tiba..
umetishaaaa
 
.....Nzi kidondani, hufia wahenga walisema.
Sometimes maradhi yaeza yasiwe na tiba kwa penzi ya kapona.

Ila yako yatakuua Safari hii utoboi bro.
 
Jamani ninavyoendelea niweza kupoteza maisha. Ktk pitapita zangu nimedumbukia mahala ambapo nimezama mzima mzima mpaka kutoka nashindwa. Kuna binti kweli nampenda jmn. Ikipita cku sijaongea naye naumia roha mpaka siwezi kuelezea.

Nisaidieni mbinu za kuachana naye make nitakuja kufa kwajili yake. Siyo kwamba hakuna wengine ila hata nikiwa na wengine bado tu namkumbuka yeye. Au kaniwekea rimbwata?
Ebu elezea kama mtu mwenye akiri timamu. Sababu gan iliyo pelekea had Unataka kuacha ? kisa ama chanzo cha kumuacha ni nini hasa?

Ndio tujue nn chakukusaidia
 
Jamani ninavyoendelea niweza kupoteza maisha. Katika pitapita zangu nimedumbukia mahala ambapo nimezama mzima mzima mpaka kutoka nashindwa. Kuna binti kweli nampenda jamani. Ikipita cku sijaongea naye naumia roha mpaka siwezi kuelezea.

Nisaidieni mbinu za kuachana naye make nitakuja kufa kwajili yake. Siyo kwamba hakuna wengine ila hata nikiwa na wengine bado tu namkumbuka yeye. Au kaniwekea rimbwata?
sasa uachane nae kwa nn?
 
Mbele yako nyuma yetu mwamba...
 
Pole boss..... Ila jifunze kuiambia akili yako kuwa inatosha.....

Mimi yamewahi nikuta lakini nikiamua kuyaacha naacha, mfano Leo kasafiri lakini hapokei simu mpaka sasa na yupo online WhatsApp kabadilisha status, na alikoenda ndipo ex wake alipo

Kikubwa kubali hakuna kitu muhimu kama pumzi uliyonayo, hayo mengine ni ziada
Pole
 
Mkuu kama unataka usindelee kuumia acha kumpa hela huyo mwanamke.

Repeat it again!!

Its hard and risk ila do it anyway.

...# for your sake

...# If you know you know.
 
Back
Top Bottom