Hivi ni mimi pekee nateseka na mapenzi?

Hivi ni mimi pekee nateseka na mapenzi?

Dah! Jmaa yangu Umomi mtatizo yote ya dunia hii yanakuandama wewe... sasa! nimekuelewa uliposema umekufa maana matatzo yote yakikuandama ujue huna tofauti na mfu, na watu wengi humu hawakukuelewa wamekimbilia kusema rip
Kwan hajafa mkuu kama hajafa mwambie asife tena asubuhi mpk mungu amuite sio kujipeleka Ni dhambi mbele za mungu alafu mwanaume lazima awe na kifua na uo ndo uanaume uwezi ondoa maisha yako ikiwa kuna watu 10 wanakutegemea kwa ajili ya mtu mmoja unawaacha kwenye tabu kisa msichana ambaye ukifa anaolewa na mwanaume mwingine swali la kujiuliza Ni je kama uko hai kashindwa kusamini mapenzi yako ukisa unazani na yeye atakufa au ndo ataolewa ataenda kuanzisha maisha na ampendae #Umomi Kama upo hai nakusii acha uo mchezo kbsa unamkosea mungu usinywe pombe unajizalilisha hyo unaye fanya yote kwa ajili yke hana ata chembe ya upendo kwako subiri wako usialakishe maisha kila mtu na mtuwe hapa duniani usivamie visivyo vyako ukaviweka moyoni nimekushauli hvi me nikiwa mmoja wao niliye teswa na mapenzi mok kufikia kutaka kujiua Kama wewe ilinipelekea mpk kunywa sumu cha kusikitisha jamaa nilikuwa naishi naye yaan ananisaliti hvi kwa macho naona anakuja usiku anakula anaoga navaa vizuri anakuaga kuwa naondoka nitarudi kesho muda mwingine namfatilia lakin alipo kuwa aliishia ni lodge tena na mwanamke ilipelekea mpka nikawa nalala pale pale nje ya lodge ikifika asubuhi wanatoka alfu kifuata kwangu ni kipigo aaaah kusema ukweli nilikwama kwenye mapenzi nilikuwa soon wala sisikii kwake kibaya zaidi jmaa alinifanya niache shule kwa kunitosha na kunipeleka kwako kwenye makaburi ya wazazi wake uko ndo niliko toka na shule nikakataa kbsa baba angu alilia Sana nilikuwa mtoto pendwa na wa kwanza alileta mpk wachungaji waniombee lkn haikusaidia baba alimpeleka mpenzi wangu mpk police lakini nilifata na kumkana baba angu mbele ya mapoluce ili kumsaidia asifungwe maana ilikuwa siku moja tu imebaki apelekwe mahakamani kama mjuavyo kesi za wanafunzi lkn matokeo yake ndo hayo maumivu yaliyo nikuta ama kweli asiye sikia la mkuu mguu uoota tende siku moja nilishindwa kuvumilia kumbuka hapo nipo kwake naishi naye ndipo nilipo pigwa kwa kuzalilishwa mbele ya yule mwanamke wake ndg zangu walikuwa washa nitenga kwa sababu ya kumkana baba angu na kumsingia kuwa yeye ndo aliniozesha kwake niliona dunia nimeibeba siiwezi peke yangu bora kufa ndipo nilipo amua kunywa sumu peke yangu ndan bahati nzuri au mbaya alifika mpenzi wangu akaniambia kwa hyo umeamua kufa kwa ajili yangu kufa Kama unataka kufa kisha akaondoka muda hyo nipo kitandani tumbo kinauma sio poa dakida 1 akarudi na kunivuta ndan kwake uku akisema toka kwangu kafie kwenu uko staki kesi alinivuta mpk kwetu pale nilifika kudondokea kwenye miguu ya mama angu mkubwa akamwambia mwanenu kanywa sumu ndipo baba alikuja akamwambia kumbuka kuwa akifa mwanangu na wew unamfata baba angu Ni mtu mwenye hadhi ya juu kiasi anauwezo na ana miliki basitora so muda anamwambia hvo uku akimlengea basitora ndo majaa kuogopa muda uo me sasa tumbo linanikata Kama nakatwa na wembe uku nikianza kusikia mdomo unatoa mate mepesi na yenye mapofu gharula nilizima kilicho endelea sikumbuki Ila nilijikuta hospital baada ya masaa9 kupita nimetundikiwa madrip pembeni yangu naona Dasani la maziwa na jagi kubwa walilo kuwa wamekamlia malimao hyo hali ilinipelekea kukojoa sana kiasi kwamba nilikojoa pale pale kitandani na umati wa watu madishani na hospital wamejaa kama Kijiji uku wakisema jmn msichana mrembo mwenyew sifa zote za kupendwa n mwanaume yeyote leo anakufa kwa ajili ya mtu mmoja asiye kuwa na kitu ata kuendana tulikuwa hatuendani daah kibaya zaidi nilipo ruhusi hospital bado sikukubali nilirudi kwake hapo ndipo ndg zangu awakasema karogwa hyu sio bure basi waliniacha na alirudisha mapenzi kwangu na tukaishi kwa furaha baada ya mwezi ulitokea msiba home ambapo baba mkubwa angu alifariki nilienda msiba kesho yake na yeye akaja tulimaliza msiba vizuri lakin kurudi nyumban kwangu ile nafika tu sikutaka tena kukaa nikamwambia aise tuachane akajua masiala nlipaki nguo zangu na akijua namdanganya nikatoka nje bado ahamini nikabeba beg nikaishia roho yake ikamtuma nitarudi nampima tu imani lkn haikuwa hvo alikuja mpk home lkn sikukubali kesho yake nikasafiri kwenda dar kwa aunt nilibadili na no ya simu hakunipata kbsa basi nilifanikiwa kumsahau baada ya miezi 8 nasikia ameoa tena mwalimu basi mwezi wa kumi na mbili nililirudi home kula sikuku kweli nilikuta kaoa lkn bado aliniitaji na ilishindikana alifanya aliamua kuamia mbeya na mkewe mungu sio asuman wala sio juma nilimpata kipenzi changu na kunioa kbsa na mahali na ndoa mpk leo nipo nae mwaka wa 5 saa hv so mapenzi jmn yanaumiza Sana me nilijifunza na ndo maan ata hyu niliye mpk ananishangaa sina haraka naye kbsaaaa arudi home asirudi amalize miezi Mimi ninmkew atanikuta madam ananipa huduma inatosha hvyo sasa jifunze kwa wengine mbali na kumpenda sana lkn haikuwa wangu na sikuwa wake
 
Uko sahihi mkuu lazima tukubali changamoto kuwa ni sehemu ya maisha yetu
 
Na siku zote kinacho kuumiza Ni like ambacho ujapangiwa kwa kuwa unaforce kuwa nacho ndo maan tunaumia lkn aliye kupangia mungu kamwe uwezi kuumia kiasi hcho japo kuna mauzi ya hapa na pale Kama binadamu lkn uwa hayachukui nafasi kbsa katika maisha ya wapendanao
 
Uko sahihi mkuu shukuru umepata ndoa na unaifurahia mshukuru mungu maana wengine wako ndani ya ndoa lkn ni mateso tu
 
Kigorohe tupe mrejesho mlizika salama Umom uko tarime ? Unaleta masihala na kufa wakati mapori yamejaa pa kuzikia
 
Back
Top Bottom