Hyperkalemia protocol
Member
- Aug 29, 2019
- 99
- 154
kumbe ameshaamua kutanguliamkuu unaemwambia hayupo Tena .
kumbe ameshaamua kutanguliamkuu unaemwambia hayupo Tena .
Too late mkuu.Mkuu kama unataka usindelee kuumia acha kumpa hela huyo mwanamke.
Repeat it again!!
Its hard and risk ila do it anyway.
...# for your sake
...# If you know you know.
Jamaa amefariki kweli.... Amekunywa sumuMkuu kama unataka usindelee kuumia acha kumpa hela huyo mwanamke.
Repeat it again!!
Its hard and risk ila do it anyway.
...# for your sake
...# If you know you know.
Amefariki kweli. Amecommit suicide aiseee
May his soul rest easy aseehhToo late mkuu.
Jamaa hatunae.
Kumbe hata hizi baadhi ya avatar zainasadifu yaliyo mioyoni mwa watu.
hakuna kitu muhimu kama pumzi..ulikuwa una mshauri vizuri kwelPole boss..... Ila jifunze kuiambia akili yako kuwa inatosha.....
Mimi yamewahi nikuta lakini nikiamua kuyaacha naacha, mfano Leo kasafiri lakini hapokei simu mpaka sasa na yupo online WhatsApp kabadilisha status, na alikoenda ndipo ex wake alipo
Kikubwa kubali hakuna kitu muhimu kama pumzi uliyonayo, hayo mengine ni ziada
Nabii wa jf dah umejua kumtabilia mwenzio aisee kibongo bongo unaweza kuwa hatiani sema ukukusudia Ila next time jifunze kuwa na kauri nzuri.....Nzi kidondani, hufia wahenga walisema.
Sometimes maradhi yaeza yasiwe na tiba kwa penzi ya kapona.
Ila yako yatakuua Safari hii utoboi bro.
Majina, avatar, kuna vitu tunavyofanya kwa kujua au bila kujua. Tuwe makini kwenye maneno tunayozungumza hasa tukiwa kwenye hali ngumu za maisha.Too late mkuu.
Jamaa hatunae.
Kumbe hata hizi baadhi ya avatar zainasadifu yaliyo mioyoni mwa watu.
Jamani ninavyoendelea niweza kupoteza maisha. Katika pitapita zangu nimedumbukia mahala ambapo nimezama mzima mzima mpaka kutoka nashindwa. Kuna binti kweli nampenda jamani. Ikipita cku sijaongea naye naumia roha mpaka siwezi kuelezea.
Nisaidieni mbinu za kuachana naye make nitakuja kufa kwajili yake. Siyo kwamba hakuna wengine ila hata nikiwa na wengine bado tu namkumbuka yeye. Au kaniwekea rimbwata?
Aliwazalo ndio litakalomtokea na hii ndio darubini.Jamani ninavyoendelea niweza kupoteza maisha. Katika pitapita zangu nimedumbukia mahala ambapo nimezama mzima mzima mpaka kutoka nashindwa. Kuna binti kweli nampenda jamani. Ikipita cku sijaongea naye naumia roha mpaka siwezi kuelezea.
Nisaidieni mbinu za kuachana naye make nitakuja kufa kwajili yake. Siyo kwamba hakuna wengine ila hata nikiwa na wengine bado tu namkumbuka yeye. Au kaniwekea rimbwata?
amesha jiua tayari (R.I.P)Endelea ivo ivo tu ,mwisho ujipige kitanzi ufe mana we sio mwanaume kamili......mabaharia tutabaki tunamkuna huyo unayemtesekea .Pumbafuuuuu.
Kupenda ndio huku,Kwani mmeachana?kwanini unateseka?