Hivi ni mapenzi au ni hela.....au ni nini??

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
Jf,
Eti kwa utashi wako, we unadhani ni nini kinaendesha dunia??
mapenziii?? hela??, siasa?? au ni nini??

Kiukweli kwa utashi wangu me naona ni hela.
generally kwa sababau hela inaingilia uchumu, siasa, dini, na mapenzi yenyewe.
Ebu leteni mawazo hapa.
 
vitu viwil tofaut
ingawa wanadamu now days wanavifanya viwe km kurwa na doto

kwan wakat mnapendana zaman wakat yey hana na wewe huna kulikuwa na shda?
mambo yamebadirika now days demand kibaoooo thats y watu wanataka kubalance akiwa na mpz anataka amfanye na ATM pia...
 
hahahaha! Mgomvi wewe. Lol.Mi nadhani vyote kwa pamoja maana kila kimoja ni tofauti na mwenzie na kina umuhimu wake.

me wala sijamwelewa.sijui hajelewa swali sijui "NI NINI" ndo jibu lake! teh teh.
kweli hapa kuna great thinkers.
 
Jf,
Eti kwa utashi wako, we unadhani ni nini kinaendesha dunia??
mapenziii?? hela??, siasa?? au ni nini??

Kiukweli kwa utashi wangu me naona ni hela.
generally kwa sababau hela inaingilia uchumu, siasa, dini, na mapenzi yenyewe.
Ebu leteni mawazo hapa.
Hapo kwenye red......Money is not everything kama baadhi ya watu wamekuwa wakizitukuza.
Unaweza ukawa na hela...ukanunua mwanamke na si mapenzii.
Unaweza ukawa na hela...ukanunua kura na si siasa nzuri.
Unaweza ukawa na hela.....ukanunua kitanda kizuri sana na si usingizi.
Mungu(kwa imani tofauti) ndio anayendesha dunia period.
NB:Kama hauna pesa,(money,hela,mpunga,mawe,vyuma,na majina mengine mengi ukitakakuiita) utafikilia kuwa inaweza ikakupa furaha sana...na maisha mazuri...ukiwa nayo utatamani ungekuwa unapata basic needs tu.Ni bora ukaomba mungu akupe pesa kiasi na hekima pia.
 
Siasa:- ni jambo lilolokuja baadae enzi za Ujima siasa zilikuwa hazipo watu walikuwa wanaishi tu kuendesha siku
Pesa:- Zamani kulikuwa hakuna biashara na ilipoanza ilkuwa ni barter trade watu wanabadilishana vitu
Mapenzi:- Sina uhakika lakini nadhani haya yalianza mapema kabla ya hayo hapo juu ingawa arguably zamani watu walikuwa wanasukumwa na tamaa na lust zaidi kuliko kumpenda mtu
Conclusion: Kwa maisha ya sasa huwezi ukawa na kimoja bila kingine ili kuweza kuendesha maisha vizuri, ingawa nadhani bila siasa mambo yangeenda vizuri zaidi
 
The so called true love sijui ilipatikana kizazi kipi, enzi za mababu nasikia ilikuwa unachaguliwa mweza whether you like or not, siku hizi mkwanja muhimu mi sielewi hapa.
 
Jf, Eti kwa utashi wako, we unadhani ni nini kinaendesha dunia??mapenziii?? hela??, siasa?? au ni nini??Kiukweli kwa utashi wangu me naona ni hela.generally kwa sababau hela inaingilia uchumu, siasa, dini, na mapenzi yenyewe.Ebu leteni mawazo hapa.
power and money
 
hivyo vitu havitegemeani,vyote vinategemea money since with money u get love,beauty,power,freindship etc na sio vice versa.
in short.....money=everything.
but thats just me.
 
ata kanisani wanasema money is not important blah blah blah...na alafu wanapitisha vikapu vya mchango wa ujenzi, a chick atasema its not abt the money yet ukiwa broke anakimbia,ata wewe u can say money is not important yet mzee una rolex mkononi,kiatu cha laki,shades za kufa mtu...money,money,money.
whoever says he is unhappy because he has a lot of money is either a liar or insane!!
 
Back
Top Bottom