Hivi ni lazima kufanya harusi?

Hivi ni lazima kufanya harusi?

We Wallet wasema tu sababu uko nje ya hii taasisi..madeni ya mume ni yake na sio ya mkee!! Kua uyaone.
Hakuna nisilojua humo. I have been there several times, and I will be there. Ziko namna za kuallocate madeni kwa mamsapu
 
Sherehe ya harusi ni option tu baada ya ndoa kufanyika. Kuhusu ulazima inategemea na mtazamo wa mtu. Binfasi naona sio lazima.
 
Nawaona watu jinsi ambavyo
majasho huwatoka kukimbizana na vikao na michango. Wengine wameishi
miaka na wana watoto lakini sherehe inavyoandaliwa utadhani wana mwaka
mmoja wa kufahamiana. Vitu vingine ni headache tu. Au ni kamradi
fulani?

yaan nisipofanyiwa harusi.... dah hii lazima
 
Nawaona watu jinsi ambavyo majasho huwatoka kukimbizana na vikao na michango. Wengine wameishi miaka na wana watoto lakini sherehe inavyoandaliwa utadhani wana mwaka mmoja wa kufahamiana. Vitu vingine ni headache tu. Au ni kamradi fulani?

huna hoja wewe
 
Naona kile kiapo ndo msingi na muhimu zaidi. Ila furaha ya kuweza kuapa mbele ya nduguzo hupelekea roho ya shukrani ukarimu na kuramani kukaa na wakupendao washiriki furaha yako. Na hapo ukarimu ni budi.
Wewe kama una mkono wa birika acha usifurahi na nduguzo.
Wanaokatisha tamaa wenzao ni wale wanaotaka makuu yasio ya level yao.

Hivi kuoa uoe wewe sisi tukuchangie ili ufurahi na mkeo! Hakuna umuhimu wa sherehe ya harusi kama uwezo wako mdogo! Funga ndoa yako reserve meza pahali ita wawili watatu then nenda nyumbani na mkeo. Watu hutumia mamilioni ya fedha na huishia ndo kuvunjika within no time! Milioni kadhaa kwa masaa 6 then kesho yake huna nyama nyumbani? Badilikeni!!!
 
Sisi kwa kweli hatukufanya sherehe ya hivyo. Tulifanya dinner na kamziki kadogo after ndoa ya uwezo wetu. Hatukuhangaika na michango tuliwataarifu watu alojisikia alichanga na asiyeweza aliacha. Alhamdulillah waalikwa walikuja walochanga na wasiochanga kwa kuwa uwepo wao ulikuwa wa muhimu kwetu. We never reminded anyone "siku zimekaribia"...! Siku zipi? Za nani? Kama mtu ni rafiki yako ataku support bila wewe kumshurutisha. Na support sio lazima hela. Watu wanawawekea wenzio viwango, harusi yako wewe unaweka amount and deadline, una follow up na msg kila kikicha. Ukiuliza wewe umejipangaje harusi ya milioni 18 yenye budget inayo include mpaka honeymoon utajibiwa nina milioni 1. Seriously?! Kisha unataka watu wakupeleke ngurudoto na mkeo fubgate?!
 
Harusi lazima ,mi birthday hua sion umuhimu wakee
 
huna hoja wewe

Hivi kuoa uoe wewe sisi tukuchangie ili ufurahi na mkeo! Hakuna umuhimu wa sherehe ya harusi kama uwezo wako mdogo! Funga ndoa yako reserve meza pahali ita wawili watatu then nenda nyumbani na mkeo. Watu hutumia mamilioni ya fedha na huishia ndo kuvunjika within no time! Milioni kadhaa kwa masaa 6 then kesho yake huna nyama nyumbani? Badilikeni!!!
Na hapo unasemaje wewe mokoyo
 
Sisi kwa kweli hatukufanya sherehe ya hivyo. Tulifanya dinner na kamziki kadogo after ndoa ya uwezo wetu. Hatukuhangaika na michango tuliwataarifu watu alojisikia alichanga na asiyeweza aliacha. Alhamdulillah waalikwa walikuja walochanga na wasiochanga kwa kuwa uwepo wao ulikuwa wa muhimu kwetu. We never reminded anyone "siku zimekaribia"...! Siku zipi? Za nani? Kama mtu ni rafiki yako ataku support bila wewe kumshurutisha. Na support sio lazima hela. Watu wanawawekea wenzio viwango, harusi yako wewe unaweka amount and deadline, una follow up na msg kila kikicha. Ukiuliza wewe umejipangaje harusi ya milioni 18 yenye budget inayo include mpaka honeymoon utajibiwa nina milioni 1. Seriously?! Kisha unataka watu wakupeleke ngurudoto na mkeo fubgate?!
Umenena wangu. Kuna watu wabishi huona kimo cha pua zao. Ila kwa kuwa ni kama utamaduni, basi watu hujivika ukauzu a kusumbuka miezi mitatu na kuhutumisha na masaa nane hivi kwa yale yote yaliyopiganiwa
 
Harusi ni muhimu kwani ndio ndoa yenyewe (Kupata baraka za Mungu)....Ila gharama zilizo zidi kipato chako SI MUHIMU





Nawaona watu jinsi ambavyo majasho huwatoka kukimbizana na vikao na michango. Wengine wameishi miaka na wana watoto lakini sherehe inavyoandaliwa utadhani wana mwaka mmoja wa kufahamiana. Vitu vingine ni headache tu. Au ni kamradi fulani?
 
Umenena wangu. Kuna watu wabishi huona kimo cha pua zao. Ila kwa kuwa ni kama utamaduni, basi watu hujivika ukauzu a kusumbuka miezi mitatu na kuhutumisha na masaa nane hivi kwa yale yote yaliyopiganiwa

Kwanza waambie pia kuwa gharama za vikao na usumbufu zingetosha kufanya kashere ka kawaida sana! Kwenu hamna hata baskeli unataka upande benz siku ya harusi! Kwani uliambiwa ukipanda benzi au ukifanyiwa harusi mlimani city ndo ndoa itadumu? Wakati wanasubiria michango wanakooonda mpaka unawaonea huruma! Kiukweli harusi yangu haikuzidi watu 25 miaka kadhaa sasa na bado kidogo tunatimiza miaka 20 ya ndoa!
 
Kufanya harusi ni jambo jema ila sisi malofa ndio tunajichanganya, mtoto wa Mbonde anataka harusi yake ifanane na ya mtoto wa Lowasa.

Mtu unakaa nyumba ya kupanga kipato chako magumashi tupu halafu unataka harusi yako ifanane na watoto wa kishuwa ambao mtu anachanga mchango million 3 kwenye harusi anakunywa club soda tu na chakula anachukuwa paja moja la kuku tu na salad.
 
Harusi ni muhimu kwani ndio ndoa yenyewe (Kupata baraka za Mungu)....Ila gharama zilizo zidi kipato chako SI MUHIMU

Yaap unafanya harusi sio kuonyesha watu kujionyesha fanya ya uwezo yakoo
 
Kwanza waambie pia kuwa gharama za vikao na usumbufu zingetosha kufanya kashere ka kawaida sana! Kwenu hamna hata baskeli unataka upande benz siku ya harusi! Kwani uliambiwa ukipanda benzi au ukifanyiwa harusi mlimani city ndo ndoa itadumu? Wakati wanasubiria michango wanakooonda mpaka unawaonea huruma! Kiukweli harusi yangu haikuzidi watu 25 miaka kadhaa sasa na bado kidogo tunatimiza miaka 20 ya ndoa!
Nakumbuka jamaa mmoja tulikuwa tunamfanyia mchakato wa harusi yake. Hata mbele tulikuwa hatuoni na jamaa akaibuka anataka zawadi ya kiwanja... Ni shida. Aliambulia kajokofu.
 
Harusi ni muhimu kwani ndio ndoa yenyewe (Kupata baraka za Mungu)....Ila gharama zilizo zidi kipato chako SI MUHIMU
Ndoa ni kanisani. Harusi ni ukumbini, so la muhimu ni kanisani
 
Back
Top Bottom