Hivi ni lazima kufanya harusi?

Hivi ni lazima kufanya harusi?

Sisi kwa kweli hatukufanya sherehe ya hivyo. Tulifanya dinner na kamziki kadogo after ndoa ya uwezo wetu. Hatukuhangaika na michango tuliwataarifu watu alojisikia alichanga na asiyeweza aliacha. Alhamdulillah waalikwa walikuja walochanga na wasiochanga kwa kuwa uwepo wao ulikuwa wa muhimu kwetu. We never reminded anyone "siku zimekaribia"...! Siku zipi? Za nani? Kama mtu ni rafiki yako ataku support bila wewe kumshurutisha. Na support sio lazima hela. Watu wanawawekea wenzio viwango, harusi yako wewe unaweka amount and deadline, una follow up na msg kila kikicha. Ukiuliza wewe umejipangaje harusi ya milioni 18 yenye budget inayo include mpaka honeymoon utajibiwa nina milioni 1. Seriously?! Kisha unataka watu wakupeleke ngurudoto na mkeo fubgate?!

You're such a darling..!
 
Hahahaaaa asanteee mtumishi. Ila comments hizi mtumishi angalia... zinatega mtumishiiii...shetani shindwaaaa!

We acha tu...
Ushanitega hadi naona nateguka sasa..!
Nalipiza kiaina..na shetani asishindwe..teh!
 
Hahahah...hivi kwa nini nahisi wadada hawakubaliani kabisa na hii "topic" 😂😂😂
 
Anyways kama uwezekano upo kwa nini usifanye?...ni moja Kati ya hatua muhimu maishani na mara moja kutokea. Tatizo ni jinsi "mentality" ya watu ilivyojijenga siku hizi kwamba wengi wana-target gambe!...sherehe nyingine kubwa ni msiba wako,tatizo unafanyiwa!! so Harusi inaweza kua the only chance uliyonayo.
 
Mkuu sio pombe nadhani ni ile hali ya kutaka kujua na kujulikana kuwa nami nimefikia daraja hili. Kiukweli wahusika huumia sana wakati wa mchakato ila kwa bahati nzuri huwa tunasahau maumivu yote sherrehe ikiisha
 
Back
Top Bottom