Hivi ni kweliii nguo za mitumba hutupwa Kama taka huko ulaya na baadae kuletwa Africa?

kukumsela

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
721
904
Habari za asubuhiii bila shakaa wote ni wazima wa afya wakuu, kwa heshima na taadhima naomba kuuliza hivi ni kweliii hizi nguo za mitumba tunazovaa hutupwa kwenye maeneo ya takataka lkn baadae kampuni mbalimbali huzichukua na kuzisafirisha mpk huku kwetu africa. Naomba kuwasilisha wakuu

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Bro nimewahi kuishi UK,Miji miwili
Hereford na Reding !!!
Hawa jamaa wana maduka wanaita charity shops!! Kama una malapu lapu yako yan nguo usizo zitaka unapeleka hapo unazibwaga ,kuna watu wanazichukua na kuzi"grade"kisha zinakuja kwetu huku!!! Pia kama MTU amekufa wanazoa kila alichokiacha marehem kinakuja huku kupitia charity shops!!!
Ikifika mwisho wa mwaka hawa jamaa hubadili fanicha na vifaa kama friji,mashine za kufulia nguo na kuoshea vyombo, TV,nk kuna sehemu ya mbele ya nyumba wana weka kisha kuna watu wanapita kuchukua au pia hupeleka kwenye charity shoops kisha vina gradiwa kisha vinakuja huku uswahilini kwetu!!!
Ndio TV ,frij used tunazoziona
 
Hii ni Germany
20210623_114705.jpg
20210623_114735.jpg
20210623_114708.jpg
 
Bro nimewahi kuishi UK,Miji miwili
Hereford na Reding !!!
Hawa jamaa wana maduka wanaita charity shops!! Kama una malapu lapu yako yan nguo usizo zitaka unapeleka hapo unazibwaga ,kuna watu wanazichukua na kuzi"grade"kisha zinakuja kwetu huku!!! Pia kama MTU amekufa wanazoa kila alichokiacha marehem kinakuja huku kupitia charity shops!!!
Ikifika mwisho wa mwaka hawa jamaa hubadili fanicha na vifaa kama friji,mashine za kufulia nguo na kuoshea vyombo, TV,nk kuna sehemu ya mbele ya nyumba wana weka kisha kuna watu wanapita kuchukua au pia hupeleka kwenye charity shoops kisha vina gradiwa kisha vinakuja huku uswahilini kwetu!!!
Ndio TV ,frij used tunazoziona
Mbona sasa hatupewi bure? Na lengo la kugrade ni nini km siyo kuuza?
 
Bro nimewahi kuishi UK,Miji miwili
Hereford na Reding !!!
Hawa jamaa wana maduka wanaita charity shops!! Kama una malapu lapu yako yan nguo usizo zitaka unapeleka hapo unazibwaga ,kuna watu wanazichukua na kuzi"grade"kisha zinakuja kwetu huku!!! Pia kama MTU amekufa wanazoa kila alichokiacha marehem kinakuja huku kupitia charity shops!!!
Ikifika mwisho wa mwaka hawa jamaa hubadili fanicha na vifaa kama friji,mashine za kufulia nguo na kuoshea vyombo, TV,nk kuna sehemu ya mbele ya nyumba wana weka kisha kuna watu wanapita kuchukua au pia hupeleka kwenye charity shoops kisha vina gradiwa kisha vinakuja huku uswahilini kwetu!!!
Ndio TV ,frij used tunazoziona
Marekani kuna Thrift Supermarkets huko unapata nyuzi nzuri tu kwa bei ya chini sana USD 5,10 n.k na wananchi wenyewe ndio wateja wakuu, kifupi nguo za kutupwa hakuna ila hupelekwa kwa watu wenye mahitaji, ila nimeona vitu kama makolokolo kama ya tv, computer, magodoro (vitu vilivyochoka sana) ndio hutupwa, wengi hupeleka vitu vyao kwenye minada, au hutangaza kuviuza vitu vyao kwa bei ndogo kwa kuwa kuvibeba na kuhama navyo inakuwa ni gharama zaidi kuliko kununua huko huko anakoenda, ni tofauti na huko kwetu utakuta mtu anahama kutoka Mtwara kwenda Bukoba huhamisha hadi kigoda.
 
Ukusanyaji wa nguo zilizotumika na vifaa vya nyumbani ni biashara kamili inayotambulika kisheria na hufanywa na wajasiliamali waliosajiliwa.

Nchini Sweden kwa mfano kuna utaratibu kwenye baadhi ya makanisa, unaowataka waumini wakusanye nguo viatu mikoba mikanda n.k. sehemu maalumu ambapo wajasiliamali huja kukusanya mzigo, kuupanga kwa madaraja na kuusafirisha nchi za nje hasa Afrika.....Hii haifanyiki bure! Kuna Ada kidogo inatolewa. Ndio maana bale la mtumba linauzwa.

Kuna utaratibu mwingine huko huko Sweden hasa Stockholm wa kuweka makontena mitaani ili mkazi mwenye samani kuu kuu aweze kuzitupa kwa njia hiyo. Nilikuwa na rafiki yangu mmoja mswede aliyenunuliwa na wazazi wake apartment jijini Stockholm, aliijaza nyumba yake kwa samani alizokuwa akikusanya mitaani kila siku usiku wa manane..... Tembea uone, ujifunze.
 
Bro nimewahi kuishi UK,Miji miwili
Hereford na Reding !!!
Hawa jamaa wana maduka wanaita charity shops!! Kama una malapu lapu yako yan nguo usizo zitaka unapeleka hapo unazibwaga ,kuna watu wanazichukua na kuzi"grade"kisha zinakuja kwetu huku!!! Pia kama MTU amekufa wanazoa kila alichokiacha marehem kinakuja huku kupitia charity shops!!!
Ikifika mwisho wa mwaka hawa jamaa hubadili fanicha na vifaa kama friji,mashine za kufulia nguo na kuoshea vyombo, TV,nk kuna sehemu ya mbele ya nyumba wana weka kisha kuna watu wanapita kuchukua au pia hupeleka kwenye charity shoops kisha vina gradiwa kisha vinakuja huku uswahilini kwetu!!!
Ndio TV ,frij used tunazoziona
Unasema sio ukweli brother nguo zote zinazo pelekwa Charity ni nguo sio malapulapu tena ni nguo za maana hasa na ni very expensive watu walio toka DUNIA ya TATU wameharibu mifumo ya watu unalikuta lijitu na akili yake timamu linafungua mifuko ya vitu iliyo wekwa mbele ya Charity shop nakuanza kusagulasagula vitu na kuchukua vitu vya thamani na kuacha manguo au viatu vime tapa kaa sehem yote,.. sababu mara nyingi watu wanaweka usiku mbele ya Duka.

Local Charity shops zote zinauza vitu kwa bei rahisi na hela inayopatikana ni kwa ajili ya Charity shop husika na watu wanao nunua ni raia wa sehemu husika au eneo usika .

Charity zinazo toa misaada ni zile za taasisi za deni ambazo hukusanya vitu kwa ajili ya NCHI masikini vitu vinavyo kusanywa vinatokana na waumini au local residents.

Biashara ya mitumba hii iwe viatu au nguo inayo letwa mfano TZ ni biashara kubwa na kuna makampuni husika ndio inayo uza na mitaji yake sio lelemama mara nyingi mitumba mengi ni zile nguo au viatu vilvyo tolewa kwenye maduka makubwa au trained groups zilizo maliza mashidano yoyote yale mfano Olympics,marathon nk pia wapo watu hutupa nguo lkn kutupa nguo NCHI za western kuna utaratibu uliokuwa mzuri sababu mara nyingi nguo zinakuwa nzuri na mara nyingine ni MPYA kabisa.

Kifupi kufanya biashara ya MITUMBA sio rahisi ni biashara yenyewe inahitaji mtaji mkubwa sn.
 
Marekani kuna Thrift Supermarkets huko unapata nyuzi nzuri tu kwa bei ya chini sana USD 5,10 n.k na wananchi wenyewe ndio wateja wakuu, kifupi nguo za kutupwa hakuna ila hupelekwa kwa watu wenye mahitaji, ila nimeona vitu kama makolokolo kama ya tv, computer, magodoro (vitu vilivyochoka sana) ndio hutupwa, wengi hupeleka vitu vyao kwenye minada, au hutangaza kuviuza vitu vyao kwa bei ndogo kwa kuwa kuvibeba na kuhama navyo inakuwa ni gharama zaidi kuliko kununua huko huko anakoenda, ni tofauti na huko kwetu utakuta mtu anahama kutoka Mtwara kwenda Bukoba huhamisha hadi kigoda.
Hahahaaaa eti mtwara hadi bukoba na kigoda!!! Mimi nilihama na bata kutoka liwale mpaka Tanga!??
 
Unasema sio ukweli brother nguo zote zinazo pelekwa Charity ni nguo sio malapulapu tena ni nguo za maana hasa na ni very expensive watu walio toka DUNIA ya TATU wameharibu mifumo ya watu unalikuta lijitu na akili yake timamu linafungua mifuko ya vitu iliyo wekwa mbele ya Charity shop nakuanza kusagulasagula vitu na kuchukua vitu vya thamani na kuacha manguo au viatu vime tapa kaa sehem yote,.. sababu mara nyingi watu wanaweka usiku mbele ya Duka.

Local Charity shops zote zinauza vitu kwa bei rahisi na hela inayopatikana ni kwa ajili ya Charity shop husika na watu wanao nunua ni raia wa sehemu husika au eneo usika .

Charity zinazo toa misaada ni zile za taasisi za deni ambazo hukusanya vitu kwa ajili ya NCHI masikini vitu vinavyo kusanywa vinatokana na waumini au local residents.

Biashara ya mitumba hii iwe viatu au nguo inayo letwa mfano TZ ni biashara kubwa na kuna makampuni husika ndio inayo uza na mitaji yake sio lelemama mara nyingi mitumba mengi ni zile nguo au viatu vilvyo tolewa kwenye maduka makubwa au trained groups zilizo maliza mashidano yoyote yale mfano Olympics,marathon nk pia wapo watu hutupa nguo lkn kutupa nguo NCHI za western kuna utaratibu uliokuwa mzuri sababu mara nyingi nguo zinakuwa nzuri na mara nyingine ni MPYA kabisa.

Kifupi kufanya biashara ya MITUMBA sio rahisi ni biashara yenyewe inahitaji mtaji mkubwa sn.
Mjomba nguo ilisha valiwa ni lapulapu!!! Hakuna mtu mwenye pesa ananunua second hand goods!?? Wewe kwa uwezo wako unaona ni nguo expensive ila kwa wenye pesa ni uchafu!!? Mm nimenunua nguo nzuri sana kutoka charity shops ila kwakuwa sina kipato cha kutosha !!! Ningekuwa na pesa naenda maduka ya nguo mpya!!!hivyo nipo sahihi malapulapu!!!
 
Unasema sio ukweli brother nguo zote zinazo pelekwa Charity ni nguo sio malapulapu tena ni nguo za maana hasa na ni very expensive watu walio toka DUNIA ya TATU wameharibu mifumo ya watu unalikuta lijitu na akili yake timamu linafungua mifuko ya vitu iliyo wekwa mbele ya Charity shop nakuanza kusagulasagula vitu na kuchukua vitu vya thamani na kuacha manguo au viatu vime tapa kaa sehem yote,.. sababu mara nyingi watu wanaweka usiku mbele ya Duka.

Local Charity shops zote zinauza vitu kwa bei rahisi na hela inayopatikana ni kwa ajili ya Charity shop husika na watu wanao nunua ni raia wa sehemu husika au eneo usika .

Charity zinazo toa misaada ni zile za taasisi za deni ambazo hukusanya vitu kwa ajili ya NCHI masikini vitu vinavyo kusanywa vinatokana na waumini au local residents.

Biashara ya mitumba hii iwe viatu au nguo inayo letwa mfano TZ ni biashara kubwa na kuna makampuni husika ndio inayo uza na mitaji yake sio lelemama mara nyingi mitumba mengi ni zile nguo au viatu vilvyo tolewa kwenye maduka makubwa au trained groups zilizo maliza mashidano yoyote yale mfano Olympics,marathon nk pia wapo watu hutupa nguo lkn kutupa nguo NCHI za western kuna utaratibu uliokuwa mzuri sababu mara nyingi nguo zinakuwa nzuri na mara nyingine ni MPYA kabisa.

Kifupi kufanya biashara ya MITUMBA sio rahisi ni biashara yenyewe inahitaji mtaji mkubwa sn.
Mkuu umelipaka mafuta hilo jambo utadhani ni zuri, eti viatu vilivyotumika olympics, hio olympics inafanyika kila mwaka na kila mtu huko hushiiku kiasi kwamva viatu havikosekani sokoni kila uchwao.
Hayo ni makombo ya wazungu tena viatu vingine ni malapu lapu yaliosha sana yana uzwa mpaka mia 500 huku mitaani.
Waafrika ni wavaaji wa makombo na hii tabia imeshmiri kwenye mioyo ya waafrika wanaona kama wao wameumbwa kutumia vitu duni.
Mitumba inamdhalilisha mwfrika hata utetee eti ni biashara kubwa.
 
Back
Top Bottom