Da umenikumbusha niliwahi kukutana na jamaa akadai ametendwa tena na mkewe mpaka akahama mji kurpusha shari basi nikamurlewa siku huyo mkewe sijui alipata wapi no yangu alinieleza mambo ya jamaa nikachoka kabisa kumbe jamaa ndio kimeo mbaya yule mke alimwaga kila kiti hadharani kumuuliza jamaa oooohh ni kweli lkn nisamehe du nilikimbia mbioo.
Kwa mfano ukisema nimeachwa na mpenzi wangu kwakuwa alinifumania na mwanamke mwingine unafikiri utakubaliwa hata kama ndo ukweli wako? hapo lazima ukandie sana tena sana,muda mwingine hilo suala la kufumaniwa unaweza ukambebesha yeye kwamba ulimfumania,anapenda maisha ya juu kuliko hali ya mpenzi wake,ana kiburi sana,hawapendi ndugu zangu,hajali na mambo chungu nzima
wewe mwenyewe ulishawahi kukubali kama ulikosea?Kwani kuna dhambi kukubali ulikosea mkuu?
Men are good liars often they look for sympathy ndo maana wanalalamika kutendwa. Bila kutoka nje ya mada, naomba kuuliza, kuna uwezekano wapenzi wakawa mbalimbali ( e.g 1 south africa mwingine bongo) zaid ya miaka 2 bila kucheat despite good communication?

Sijawahi kusikia mwanamke ameachana na mwanaume zaidi ya cheating! Ivi wanaume wote tuna cheat?