Hivi ni kweli?

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,063
Reaction score
990
...kwamba dar ilifanyika mechi ya mpira wa miguu kati ya C.C.M na CHADEMA.Mpaka kipindi cha kwanza kinakwisha CHADEMA 3-0 C.C.M.Baada ya C.C.M kuona hali imekuwa mbaya wakaweka mpira kwapani kisha wakatoka nduki pamoja na mnyama mbuzi wa zawadi.Chadema kilipewa ushindi lakini zawadi ndo ivo tena.Mimi sikushuhudia mechi hii,aliyeshuhudia mechi atudadavulie kinaga ubaga.
 
He ilirushwa na kituo gani cha redio?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…