Hivi ni kweli watahiniwa binafsi husahishwa vibaya?

Dec 2, 2015
13
1
Kumekuwa na malalamiko kwa baadhi ya Private Candindates kwamba,baraza la mtihani necta wamekuwa wakiwasahihisha vibaya eti kwa sababu walichezea muda wao wakiwa shule hasahasa wale malista.mfano PC hata kama atapiga" A"NECTA hawawezi kumpa hiyo "A"watamkadilia marks?je ni kweli?naombeni msaada wa majibu juu ya malalamiko haya.
 
Kama posho za kusimamia mitihani hawajalipa mpaka leo unategemea ufanisi wowote hapoo?
 
Kumekuwa na malalamiko kwa baadhi ya Private Candindates kwamba,baraza la mtihani necta wamekuwa wakiwasahihisha vibaya eti kwa sababu walichezea muda wao wakiwa shule hasahasa wale malista.mfano PC hata kama atapiga" A"NECTA hawawezi kumpa hiyo "A"watamkadilia marks?je ni kweli?naombeni msaada wa majibu juu ya malalamiko haya.

Ndio ufahamu jinsi nchi ilivyojaa ufedhuli! Hii kazi hufanywa na wahujumu Elimu wachache ndani ya NECTA ili watu waendelee kulipia kurudia mitihani ili wao wanufaishe matumbo yao.
 
Back
Top Bottom