Hivi ni kweli wanawake wanapenda 'sex' kuliko wanaume?

Juzi nimekuna na mdada nikaomba namba kasema hana vocha na hajaikalili namba yake nimnunulie vocha

Nikaona isiwe tabu nikanunua vocha kanibeep kesho yake kaniambia alisahau kujiunga hivyo vocha ya juzi imeisha nimtumie elfu3 ajiunge data

Nikasema poa nikatuma cha ajabu hakujibu kama kaipata mpaka nilipomuuliza vipi vocha imefika?

Ni kama niliibua balaa mara mwenzio nimepata matatizo nikahamaki matatizo gani tenaaa

Nimefiwa

Nanani?? Pole

Na mama...

Duh pole sana

Mara naomba nauli niende msibani Dar

Ooh nikasema hapa nimejikoroga...

Nikamwambie pole bahati mbaya sina kitu kabisa
Jaman K(jina) hata nusu tu
Nikamwambie sina nisingeweza kukunyima

Basi utanitumia ya kurudi
Oh ok ikabidi nikubali yailishe

Toka nimechat nae hajanitafuta nasubiri anitafute wakati wa kurudi

Wadada huu wizi tunaujua
Je ana kismart?..... au hana???? kama kipo weee!! tuma tu!! unadhani kwanini watu wanawajengea hawa viumbe Maghorofa? ??? kuna wengine ni kmavi tupu!! yaani ukimmbato kazi hupati, unachukiwa

km unajenga ndo kwaanza mafundi wako waaminifu wanakuibia cement!! mpaka jengo lina kwama kupanda, km ulikuwa na kazi nzuri unapigwa chini ghafla bila sababu! unakula kwa shida!! huitiwi kazi na umesoma!

mara utasikia habari ''mwanao kaanguka shimoni hivi tunapozungumza na wewe tuko Tumbi!''' Mara gari yako imekamatwa na Bangi pale Wame! hivi tunaongea na wewe tuko hapa Chalinze! unatakiwa uje na wadhamini wasioupungua kumi!!!

Ndivo wanawake woote walivo!!! hujawahi kuona mtu ana kuwa na mchumba mara huyooo!! kala kona, kapotea ghafla na mahali kila kitu alisha toa??? ukitaka kujua haya maneno yangu wambote Machangu! CD! Ndo utajua wanavo liwa na wafanya biashara wakubwa!

Km CD ana kimavi pale lindoni hatoboi!! atapigwa baridi tuuuuuu!! wateja watamruka tu!! mpaka atakoma mwenyewe!! na wale CDs wana wateja wao maalumu!! wanao wahudumiaga! hao hawakosi na wanapata mkwanja mreeeefu!

Ghetoni kwa CD mzoefu si pa kitoto! nakwambia jaribu kuingia kwenye Gheto la CD utakaa chini!!
 
Sasa huyu sijamkula ntajuaje ana kismart??
 
Wote tunapendelea ndo mana tunaviunganisha kwa pamoja huo ndo ukwel
Fantasy anayopata mwanaume nayo mwanamke anapata
Au nasema uongo ndugu yangu?
Naomba unijibu swali langu.

Hivi ukitumia kidole chako kujikuna mahali panpowasha, matokeo unayapata kwenye kidole au sehemu uliyokuna?!
 
Naomba unijibu swali langu.

Hivi ukitumia kidole chako kujikuna mahali panpowasha, matokeo unayapata kwenye kidole au sehemu uliyokuna?!

Hahah mkuu sasa mbona kidole na panapowashwa hapahusiani jaman
Au nakosea?
 
Kama wanawake wangekuwa wanapenda sex kuliko wanaume, bhasi wanaume wanaojiuza kwa wanawake wangepata soko kubwa sana...

Baadhi ya wanawake wanasema Wao wanapenda sex kama sisi wanaume, ila mimi nakataa kwasababu zifuatazo:

1) Ingia dm za wadada kwenye social media kama facebook, twitter, insta, tena utakuta Wadada sio wazuri sana, utakuta wanaume 8 wanamtongoza, ila huwezi kuta kwenye dm ya mwanaume kuna meseji toka kwa wanawake 8 Ambao huwajui, na wote wanakutongoza, labda we mwanaume uwe celebrity.

2) Wanawake wa humu fanyeni experiment, siku moja jitoe akili nenda kwenye mji ambao hujulikani, watokee wanaume 20 ambao huwafahamu, hawakufahamu Ila unavutiwa nao, Waambie unaomba namba zao za simu Ili baadaye uende ukachill nao geto kwao Kuangalia movies coz uko bored, kati ya hao wanaume 20, wanaume 18 watakukubalia kama sio 20 kabisa, ila sisi wanaume huwezi fanya hivyo, Dume hata uwe handsome vipi, ukiomba namba za wadada 20 unapokutana nao barabarani na hamfahamiani, ni mdada 1 tu atakubali, au hakuna mdada atakubali akupe namba Ili baadaye uende naye ghetto ukamle, labda Kama we mwanaume uwe celebrity

3) 80% ya wanaume tunanunua ngono, ila huwezi kuta mwanamke anatoa pesa ili agegedwe, labda asilimia 5% ya mademu ndo wanatoa pesa ili waliwe, tena mademu wengi wa hao ni vibibi, wakati kiumeni mwanaume handsome kabisa sometimes inabidi uwe unahonga ili upate papuchi

Kama hoja zangu si sahihi nirekebishwe Evelyn Salt Heaven Sent witnessj Niwaheri espy Mzigua90 brenda18 Miss Natafuta
Uko sahihi sana
 
Haipiti Nusu saa sijawazaa Kunyandua sasa mnasema wanawake wanapenda sex nashindwa kuelewaa ... labda wanapenda kukojozwa tu
 
Uzi mfupi, sitaki kukuchosha

Habari wanaJamiiForum!

Mara kadhaa nimekua nikikutana na hii kauli " wanawake wanapenda 'sex' kuliko wanaume" sema mara nyingi huwa hawajioneshi wakihofia wanaume tutawachukulia vibaya.

Hivi kuna ukweli wowote hapo?
Ni kweli tafiti za kisayansi zimeafiki hilo au kuthibitisha hilo. Iwe kufikiri kusoma kuona sex ni kipaumbele kwa mwanamke. US,UK, Italy, NZ, Australia, Canada, Germany, Etc wamefanya sana hizo tafiti.
 
True mimi kuna mademu kama saba hivi, nilitoka nao na sijawahi kuwapa pesa ila kila niliyekula alipagawa mbaka basi kiasi kwamba nikikaa bila kuwapa hi utaona messeji inaingia namisi kutiana na wewe na mwingine hivyo hivyo na nikiwa nao faragha wanatukana mbaka ndugu zao
 
Mwanamke ana uwezekano wa kuwaza sex 80% ya siku yake anapokuwa kwenye mahusiano ambayo anampenda sana mwanaume...kama hakupendu hata umpe dunia hatakuwaza..atawaza mambi aliyopewa na mwanaume anayempenda sana..atawaza jinsi alivyokuwa anasiginwa at least mara 10 kwa siku akiwa peke yake...au akiwa kimya...

MPAKA AKUPENDE SANAA yaani ASIPOKUPENDA njoo huku nyuma tucheke wote
Kuna kaukweli kiasi flani,,, ila hapo mwishoni nimecheka kweli eti njoo huku nyuma tucheke wote
 
Back
Top Bottom