Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,146
kwahiyo chezo waizimikia hiyo stye ati........?
sanaaaaa..yaani nikisikia hivo nampkumbuka mama gaude wangu
kwahiyo chezo waizimikia hiyo stye ati........?
Hahah... thanks sikonge, hii ni dhalilisho aisee,
yani nimeangalia picha naona dada anayenyonya kidole kalegeza macho na hayupo kabosa bungeni, na huyo mwingine naona keshamaliza kunyonya kidole... BALAAH
Imagine wako mia bungeni hao wa vitu maalum, hapo anasubiri kikao kiishe aendelee kunyonya kidole