Hivi ni Kweli Wabunge Waislamu Bara ni 15 tu? Wazanzibar wanatuletea Udini Mbaya?

Soma Hii Habari; Sisi Bara kweli hatuna huu Udini; Ni Bora kuiacha Zanzibar wenyewe... sasa hivi wanadai KILWA ni yao...

….HAKIKA NDUGU ZETU WAISLAM WA TANGANYIKA HAWANA CHOCHOTE CHA
KURINGIA NDANI YA SERIKALI YA MUUNGANO…UKIJA KWENYE BUNGE UTAGUNDUA WAISLAM HAWAZIDI 15 ….LAKINI ULE UWIANO UNAFICHIKA KWA UWEPO WA WABUNGE KUTOKA ZANZIBAR!!!! PEKEE YAO WAPO KARIBU 80 HAWA NDIO WANA FICHA UKWELI KWAMBA BUNGE LA MUUNGANO NI LA WAKRISTO….NDIO MAAANA INAPOKUJA HOJA YA MSINGI NA HAKI KABISA YA KADHI MKUU BASI HAINA PA KUPITA KWANI KWA UPANDE MMOJA WALE WABUNGE WA ZANZIBAR HAIWAHUSU SANA KWANI WAO WANAYO…..NA MARA NYINGI MAMBO YANAYOHUSU TANGANYIKA HUKAA KIMYA..
HAPA TULETE PICHA TUJAALIE HAKUNA MUUNGANO……BASI BUNGE HILI LA TANGANYIKA LITAKUWA LA WAKRISTO WATUPU…WAISLAM 15 TU.
TAHADHARI KWA NDUGU ZETU WAISLAM HASA WASOMI WA KIISLAM KAMA UTAVUNJIKA MUUNGANI BASI IKO SIKU ITAPITISHWA SHERIA ADHANA IWE NI MARUFUKU..SHERIA YA BUNGE NA WAO WAKO WENGI SIJUI MTAFANYA NINI…
JITOKEZENI KUOMBA NAFASI HIZI ZA KISIASA KUNA MASLAHI YA JAMII YENU….ILA MUKILALA KAMA MULIVOLALA SASA BASI NDIO HAYA MAYOR WA DAR ES SALAAM AMEKUWA MAKATOLIKI JIJI LENYE WATU ASILIMIA 70 WAISLAM..
KWA HAKIKA MNATAKIWA KUJIULIZA TENA….LAU KAMA MSHARIDHIA MUFANYIWE MABO YENU

Huyu nae ni ati ni Great Thinker wa JF na Senior Member! Kazi kwelikweli!!!!
 
Nadhani asipuuzwe maana ni fikra zake timilifu, ni bora kutumia facts katika kum-criticise ama katika kumuelimisha juu ya alichokiweka ili NA WASIOJUA WAWEZE KUJUA/KUJIFUNZA (iwapo ni chenye wema).
 
The thread is too sensitive to contribute to.

Hii thread ni ugoro mtupu, sijui jamaa anaota, issue hot na nzito zinazobeba mustakabali wa nchii ambazo ziko Bungeni hazina mahusiano na lithread lake lisilokuwa na kichwa wala miguu
Mkuu tuna shida na umeme na wala si misikiti au makanisa, hiyo adhana utaipigia nini kama huna umeme.
WAOMBE RADHI WANAJF KWA KUCHAFUA HALI YA HEWA SASA HIVI UIPOST.
ZINSHE MKUBWA
 
Nawasihi wanajf tafadhali tusi encourage thread za kutaka kutugawa kama hii hapa, kama mtu hana jambo la msingi ambalo linaweza kudhihirisha kuwa real this is the home of great thinkers na kutujenga katika misingi ya maendeleo basi akae kimya awe msomaji tu. Namaanisha kwamba tusijadili udini kwenye jf, raiti ningalikuwa mod thread za naman hii nisingeziruhusu zionekane humu.
 
Back
Top Bottom