Hivi ni Kweli Wabunge Waislamu Bara ni 15 tu? Wazanzibar wanatuletea Udini Mbaya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni Kweli Wabunge Waislamu Bara ni 15 tu? Wazanzibar wanatuletea Udini Mbaya?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nngu007, Feb 8, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Soma Hii Habari; Sisi Bara kweli hatuna huu Udini; Ni Bora kuiacha Zanzibar wenyewe... sasa hivi wanadai KILWA ni yao...

  ….HAKIKA NDUGU ZETU WAISLAM WA TANGANYIKA HAWANA CHOCHOTE CHA
  KURINGIA NDANI YA SERIKALI YA MUUNGANO…UKIJA KWENYE BUNGE UTAGUNDUA WAISLAM HAWAZIDI 15 ….LAKINI ULE UWIANO UNAFICHIKA KWA UWEPO WA WABUNGE KUTOKA ZANZIBAR!!!! PEKEE YAO WAPO KARIBU 80 HAWA NDIO WANA FICHA UKWELI KWAMBA BUNGE LA MUUNGANO NI LA WAKRISTO….NDIO MAAANA INAPOKUJA HOJA YA MSINGI NA HAKI KABISA YA KADHI MKUU BASI HAINA PA KUPITA KWANI KWA UPANDE MMOJA WALE WABUNGE WA ZANZIBAR HAIWAHUSU SANA KWANI WAO WANAYO…..NA MARA NYINGI MAMBO YANAYOHUSU TANGANYIKA HUKAA KIMYA..
  HAPA TULETE PICHA TUJAALIE HAKUNA MUUNGANO……BASI BUNGE HILI LA TANGANYIKA LITAKUWA LA WAKRISTO WATUPU…WAISLAM 15 TU.
  TAHADHARI KWA NDUGU ZETU WAISLAM HASA WASOMI WA KIISLAM KAMA UTAVUNJIKA MUUNGANI BASI IKO SIKU ITAPITISHWA SHERIA ADHANA IWE NI MARUFUKU..SHERIA YA BUNGE NA WAO WAKO WENGI SIJUI MTAFANYA NINI…
  JITOKEZENI KUOMBA NAFASI HIZI ZA KISIASA KUNA MASLAHI YA JAMII YENU….ILA MUKILALA KAMA MULIVOLALA SASA BASI NDIO HAYA MAYOR WA DAR ES SALAAM AMEKUWA MAKATOLIKI JIJI LENYE WATU ASILIMIA 70 WAISLAM..
  KWA HAKIKA MNATAKIWA KUJIULIZA TENA….LAU KAMA MSHARIDHIA MUFANYIWE MABO YENU
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  habari umeitoa wapi?
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0

  wewe ni nani...... ahhhhhh...si bure wewe ni mzenji ...... kila mahali ni upupu wa udini..lini mtaacha kutumiwa jamani...tumechoka
   
 4. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  mbona wamesahau kwamba TOP 10 ya matokeo ya form 4 mwaka huu ni wakristo watupu??? mtalalamika wakati wenzenu tunasonga tu hahahahhahahahhahahahahahahhahahhahahhahahhahahhahhahahah......nendeni shule kwanza kabla ya kutaka kushindana na sisi....
   
 5. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #5
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  r u a great thinker!????
   
 6. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu huu utafiti wako sidhani kama una ukweli ndani!!! :twitch:
   
 7. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  Hivi........haya maneno ni yako.....??? AU nani kayasema.........??? Kama ni yako, hebu jibu swali la msingi..................
  KUINGIA BUNGENI TUNAANGALIA DINI YA MTU..........???
   
 8. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hivii, unatambuaje hawa ni waislamu na hawa ni wakristo? Kwa nini unawahesabu kwa identity ya kidini?
   
 9. Mhoja

  Mhoja JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hii thread ni pumba tupu na uzushi, yapaswa mods waitoe, maana inaleta kichefu chefu.
   
 10. Chilipamwao

  Chilipamwao JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 514
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  mtoa mada hii ni pambafu
   
 11. F

  Fahari omarsaid Member

  #11
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utafiti wako wa uwongo coz ukiwahisabu wanapita 15 then nigger hapa hatuangalii idadi ya wanaowakilisha dini hapa tunaangalia nani atawasaidia waafrika waondokane na umasikini coz hata aliyetokea wa kwanza enzi za nyerere kaisaidia nn nchi hii
   
 12. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ahsante kwa pumba zako...................
   
 13. p

  paul p raia Member

  #13
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nadhani wakulaumiwa ni wapigakura na sio dini.
   
 14. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Mkuu nao unapenda sana udini, pole jaribu kuwa open minded badala ya kuwa confined ndani ya kiota
   
 15. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Serikali ya Qatar, ambayo kuanzia Rais mpaka mjumbe wa nyumba kumi ni mwislam, mwaka 2009 iliridhia ujenzi wa makanisa makubwa matano katika mji mkuu wa Doha. Kama haki ingeangalia dini mbona serikali ya Zanzibar, mwaka 2000 iliwachapa waislam wenzao wa CUF mpaka wakahama nch.....aaaagh... I mean sehemu ya Muungano!
   
 16. T

  Taso JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Nenda shule, achana na dini.

  Umeweka mbele udini mpaka ukakosa hata madarasa matatu ya msingi ya kujifunza kuandika?
   
 17. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #17
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Mwisho tutaona thread inayo wahamasisha waislam kujiunga na jf ili watetee maslah yao humu janvini, ni maoni tu.
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Feb 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  WanaJF.. naomba pumba kama hizi tuzipotezee, inakera na kutia kinya kama mtu anachukua pumba bila upembuziw ala kutoa authentic source na kuileta hapa
   
 19. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #19
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Crap
   
 20. bishoke

  bishoke JF-Expert Member

  #20
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The thread is too sensitive to contribute to.
   
Loading...