Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 685
- 625
Ndo mana Ina raisiUngeanza kwa kuuliza kwanza kama Palestina ni nchi.
Mkuu.Kwanza kabisa lazma ujue kuw kwa sasa palestina cyo nchi, bali ndo inapigania kwenye umoja wa mataifa ili ipewe title ama kutambuliwa kama nchi, ndo maan kwa sasa huitwa "Mamlaka ya palestina" na c "nchi yq palestina, nchi yao walishanyangwanywa na wayahudi (Israel) tangu tar 14 mwez may mwaka 1948 (cku ambayo israel ilijitangazia uhuru wao kam taifa rasm).kwa hiyo sasa kwa sasa jeshi rasmi yaani national army hakuna ila tu kikundi cha wapiganajia cha H
"Hamasi" ndo hutumika kama jesh la palestina ambapo kikundi hcho cha wapalestin cha hamasi hutazamwa na israel kam kund la kigaidi maan huwalenga wayahudi
Kama ukweli ni tusi, basi naomba uniwie radhi mkuu.kwa hyo unanitukania mwandiko bhan. Hivi humu nae mwandiko unaonekan kuw n mzur au mbaya kumbe, haya bhan
Duh!yani wewe umeshajieleza mtu wa type ganiUnajua hao warabu bira kuwazibit wanoko sana? Hawahitaj jeshi only IDF inatosha kuwadabisha
Rais wa mamlaka ya...... Siyo Rais wa nchi huru ya....Ndo mana Ina raisi
cha George Habash. Na rafkiye Wadi hadaddi? Kilinyongwa kitaalamu sana kile na wa mwisho kunyongwaNakumbuka kuna kitu kilikuwa kinaitwa -PLA-Palestine Liberation Army kikiwa sambamba na PLO kiliishia wapi kama hawana jeshi
Sasa mbona wanataka kuwepo mataifa mawili hapo yaani taifa la Israel na taifa la Palestina?Palestine ina maana nyingi,,maana inajumuisha hadi israel,kwani kabla ya 1948 iliijulikana kama palestine ikiwa chini ya udhamini wa Uingereza,,yaani umoja wa mataifa baada ya vita vya pili vya dunia iliipa uingereza kwa niaba yake ili kuitawala kabla ya kupata uhuru,
So raia wa wa palestine wenye asili ya kiyahudi(palestine jews? Wakaanzisha mapambano ya kujitenga na hatimae kujitangazia uhuru 1948, ndiposa pakaweko na israel ndani ya eneo la palestine,
Hii ilipelekea waarabu waliokuwa wakiishi maeneo hayo wajulikane rasmi sasa kama wapalestine,yaani wakazi wa palestine,
Palestiner ya leo imegawika sehemu kuu 2,
Western bank na gaza,,
Western bank wana jeshi la polis,,
Gaza wana jeshi lao la Hamas,
Wapalestine wa israel,walioko miji ya jerusalem,nazaret,bethelehem wanajulikana kama israel arabs
Sio nchi Palestine na Wala Haina jeshi.Ndo mana Ina raisi
Hamas wapo Gaza tu mkuu, eneo kubwa la West Bank ambalo ndio Lina Wapalestina wengi hao Hamas hawana mamlakaKwanza kabisa lazma ujue kuw kwa sasa palestina cyo nchi, bali ndo inapigania kwenye umoja wa mataifa ili ipewe title ama kutambuliwa kama nchi, ndo maan kwa sasa huitwa "Mamlaka ya palestina" na c "nchi yq palestina, nchi yao walishanyangwanywa na wayahudi (Israel) tangu tar 14 mwez may mwaka 1948 (cku ambayo israel ilijitangazia uhuru wao kam taifa rasm).
Kwahiyo sasa kwa sasa jeshi rasmi yaani national army hakuna ila tu kikundi cha wapiganajia cha "Hamasi" ndo hutumika kama jesh la palestina ambapo kikundi hcho cha wapalestin cha hamasi hutazamwa na israel kam kund la kigaidi maan huwalenga wayahudi.