FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,874
- 46,979
Kwani vipi.., we unayo..?we unayo?
Mkuu.., tuna category 5 za viumbe hai..., Kingdom Animalia, Plantae, Proticsta, Monera na Fungi. Wewe una-angukia kwenye kingdom Animalia sawa na wanyama wengine wote.., inasemekana binadamu pekee tuna roho.., na Animalia wengine wote ni mazombie waliokosa free will. (says us humans)Kwanini Ngombe na nguruwe tu?? Mbuzi je na wanyama wengine? by the way Roho ni nini kiasi kuwa baadhi ya wanyama wawe nayo pasi na wengine?
Kwani roho si ndo inayomfanya kiumbe kuishi sasa anaishi kwa kutegemea nini....au roho ulokusudia wewe ndo ipo....
Mfano mtu kakata raha meaning kafa....
Au roho umekusudia nafsi like kufanya kitu alafu una regret au mengine...
Inasemekana kwamba ng'ombe hana roho kabisa..., yaan yeye ana mwili tu bila roho. Infact akifa bado haijabainika ni nini hasa kinachotoka mwilini mwake hadi afe..., infact bado haijabainika kama angekuwa na roho hiyo roho ingeenda wapi akifa .., motoni au mbinguni..., infact hana free will so itakuwa unfair kuipeleka roho yake motoni.., lakini pia itakua grossly unfair kuipeleka mbinguni coz hajapitia majaribu kama ya binadamu wenye free will..., infact inaaminika kwamba hata nguruwe hawana roho..., na hata wangekuwa nayo same applies..., ngoja nilale kwanza nitaendelea..
Roho ndio nini?
Inafananaje?
Ikoje?
Inakaa sehemu gani katika mwili wa binadamu?
Ni kweli hebu lala kwanza maana...!!!
Inasemekana kwamba ng'ombe hana roho kabisa..., yaan yeye ana mwili tu bila roho. Infact akifa bado haijabainika ni nini hasa kinachotoka mwilini mwake hadi afe..., infact bado haijabainika kama angekuwa na roho hiyo roho ingeenda wapi akifa .., motoni au mbinguni..., infact hana free will so itakuwa unfair kuipeleka roho yake motoni.., lakini pia itakua grossly unfair kuipeleka mbinguni coz hajapitia majaribu kama ya binadamu wenye free will..., infact inaaminika kwamba hata nguruwe hawana roho..., na hata wangekuwa nayo same applies..., ngoja nilale kwanza nitaendelea..
Sasa huyo anayesema ng'ombe hawana roho, ina maana hawana pumzi ya uhai?eti FRANCIS DA DON??Roho ndo pumzi ya uhai alokupa Mungu
Sasa huyo anayesema ng'ombe hawana roho, ina maana hawana pumzi ya uhai?eti FRANCIS DA DON??
Mmmh! Kazi kweli kweli! Wakuu, Roho ni pumzi yako, amboyo mwisho wa siku inarudi kwa Mungu! Hao wanyama mnaowataja wana Roho, sema hawana Utashi! Ni binadamu tu ndo tuna utashi(kujua jema na baya)
Atakaekuelewa ulichoandika hapa atakujibu.., for now nareserve this space.., ntakujibu nikikuelewa..
Kila kiumbe chenye mwili kina roho
Wanyama wrote wanaroho