Hivi ni kweli mke anauma?

Hivi ni kweli mke anauma?

Mchepuko ana uma zaidi kuna wakati mchepuko ana kustress mpaka unatamani kumwambia mke wako
 
Hao wa hivyo hawajiamini au wako kwa bness fulani humu any way usijali. Mie sijagongwa bado nina miaka 7 kwny ndoa sitegemei kugongwa
hongera sana mkuu na mungu aibariki ndoa yako bt pleas share na wenzako ni vipi umeweza ili wapate kujifunza
 
Mke anauma, hasa kama unampenda. Siku hizi watu wanaishi na wenza hata hawapendani, so mke kama kweli unampenda anauma, tena akichit ndio kabisa!
Sitachit sana babe.
 
hongera sana mkuu na mungu aibariki ndoa yako bt pleas share na wenzako ni vipi umeweza ili wapate kujifunza
Asante sana mkuu. Kwanza nachojua kugongwa nje sio lazima na haina heshima kama mama kama mke kutoka nje ya ndoa yako mimi naamini unajidhalilisha mwenyewe. Ukishajua ni kujidhalilisha basi nadhani hata hyo hamu au msukumo wa kufanya hivyo unatoweka.

Pia kama una hofu ya Mungu japo kidogo tuu hii inasaidia sana kukaa kwenye mstari .
Halafu naamini ukisha olewa ukazaa wtt hii ishu ya kutoka nje ya ndoa haifai kabisa kufanywa na mama mwenye watoto achilia mbali ndoa kwa upande wangu kwa kweli ni aibu. Sijajua sababu kubwa zinazopelekea wanawake wengine kufanya hivyo.

Mwisho sina sababu ya kufanya hivyo coz mume ananitimizia vyote kama mke wake na kama mama wa familia hii inanifanya nitulize akili. Na hata isingekua hivyo bado mimi nisinge toka nje. Kwa sababu dawa ya moto sio moto.
 
wanawake wote wangekua hivi dunia ingekua salama bt wapitie hata bandiko lako wanaweza jifunza kitu.
 
MKE ANAUMA KWA WANAUME MAPOLOLO WASIOJUA KUTONGOZA
Ishu sio kutongoza bali ni ugumu wa kumpata mwanamke wa viwango unavyovitaka. Ukiwa na mke ilimradi mke hutakaa uumie hata akigongwa mbele ya macho yako.

Ila ukiwa na chuma cha viwango vya NASA lazima upate sintofahamu kidogo.

Wale wazee wa disposable hii haiwahusu
 
Kama unampenda kwa dhati lazima akuume, Tena akung'ate Kama kunguni.
 
Ishu sio kutongoza bali ni ugumu wa kumpata mwanamke wa viwango unavyovitaka. Ukiwa na mke ilimradi mke hutakaa uumie hata akigongwa mbele ya macho yako.

Ila ukiwa na chuma cha viwango vya NASA lazima upate sintofahamu kidogo.

Wale wazee wa disposable hii haiwahusu

Sahihi kabisa

Binafsi mpk mwanamke nimemuoa basi nimempa thamani kubwa sana sasa kinachoniuma ht wife namuambiaga ni thamani ambayo moyo wangu nimekupa hlf nigundue haustahili...

Maisha yangu yote sijawahi kuwa karibu na mwanamke mwenye ujinga ujinga sasa kweli nioe kubwa la majinga hilo ndo litaniuma kuliko vyote.

Pili,Mda nitakaokuwa nimepoteza kwenye mahusiano na wewe

Kupata mwanamke ni rhs sana ila quality quality quality ndo changamoto
 
Yeah hio ndio inauma mkuu,
 
Maumivu yanatokapi kwa mtu usiyempenda?
Unapima vipi kama mumeo hakupendi? Sababu anafoka? Anakupiga? anasema Malaya? ...Mwanaume jinsi alivyo , sio kwamba hakupendi, Bali moyo wake tu ni mzito kusema waziwazi kwamba nakupenda sana. Wengi wanawapenda Sana wake zao, tatizo they are weak to expose it. Usipotezwe na maneno ya mdomoni.
 
Habari za kazi Wana JF,

Naomba kuuliza. Nasikiaga wanaume wengi mkisema mke anauma sana, naomba kujua kivipi.

Kwa mfano:
Utakuta mtu anagombana sana na mke wake na kuonyesha kutokumjali kabisa pamoja na kumpigia lakini huyo mwanamke akijaribu kumpima Imani mume wake mfano aseme naondoka naenda kwa mwanaume wa kunipa furaha, au amwambie kuna waliokuzidi, au nina mtu wangu wanaume yule yule aliyekuwa mbogo lazima aingiwe tena na wivu na hasira zaidi.

Sasa najiuliza mtu yuleyule uliemwita mjinga mara hana shape, hana sura mbaya, malaya, unajuta kuwa naye akijibu tu mapigo mbona huwa mnaumia, mtu ambaye ushasema unajuta kuwa naye mbona tena anakuumiza.
Umeongea kila kitu, ila pole kwa yaliyo kukuta mkuu
 
You are under 20
 
Mwanamke uliyemwona ni bora kuliko wengine wote, ukaamua kumuoa, kuishi naye nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja mpaka mnazoeana na kufanana kama ndugu wa tumbo moja.

Anakupikia, anahakikisha unapendeza hata ukitoka barabarani, anakushauri muda wowote

Kwanini usiumie akikuambia anakwenda kwao au kwa Mwanaume mwingine?

Labda kama humpendi kabisa na unaishi nae tu basi
 
Kesi za mauaji hazitapungua Kwa tabia hizi
Habari za kazi Wana JF,

Naomba kuuliza. Nasikiaga wanaume wengi mkisema mke anauma sana, naomba kujua kivipi.

Kwa mfano:
Utakuta mtu anagombana sana na mke wake na kuonyesha kutokumjali kabisa pamoja na kumpigia lakini huyo mwanamke akijaribu kumpima Imani mume wake mfano aseme naondoka naenda kwa mwanaume wa kunipa furaha, au amwambie kuna waliokuzidi, au nina mtu wangu wanaume yule yule aliyekuwa mbogo lazima aingiwe tena na wivu na hasira zaidi.

Sasa najiuliza mtu yuleyule uliemwita mjinga mara hana shape, hana sura mbaya, malaya, unajuta kuwa naye akijibu tu mapigo mbona huwa mnaumia, mtu ambaye ushasema unajuta kuwa naye mbona tena anakuumiza.
 
Ynaweza usimpende lakini anauma akishaanza kukwambia naenda kwetu au ngja ntafute wa kunipa raha.
Kama humpendi aumi Bali akisema akatafute wakumpa raha au had mfikishi unaona kama kakuvunjia heshima, mwanaume anathamini heshima yake kuliko kitu chochote kile!

Mke anauma kama unampenda kwadhati, kugombana kupo, lakini kama humpendi maumivu sifuri, labda Mume awe anatingisha kibiriti, sitaki nataka!
 
Bado naendelea kusoma comments wanaume tiririkeni.😎
 
Back
Top Bottom