mkuu kwani we hujagongewa bado?Ngoja waje waliogongewa wake zao watwambie kama wanauma au?
mkuu kwani we hujagongewa bado?Ngoja waje waliogongewa wake zao watwambie kama wanauma au?
Sio mke tu anaye uma hawala tu ndg yangu akizingua mpaka unachanganyikiwaHabari za kazi Wana jf
Naomba kuuliza ,nasikiaga wanaume wengi mkisema mke anauma Sana ,naomba kujua kivipi
Kwa mfano
Utakuta mtu anagombana Sana na mke wake na kuonyesha kutokumjali kabisa pamoja na kumpigia lakini huyo mwanamke akijaribu kumpima Imani mume wake mfano aseme naondoka naenda kwa mwanaume wa kunipa furaha ,au amwambie Kuna waliokuzidi ,au Nina mtu wangu wanaume Yule Yule aliyekuwa mbogo lazima aingiwe Tena na wivu na hasira zaidi
Sasa najiuliza mtu Yule Yule uliemwita mjinga Mara Hana shape,Hana sura mbaya ,Malaya,unajuta kuwa Naye akijibu tu mapigo mbona huwa mnaumia ,mtu ambaye ushasema unajuta kuwa Naye mbona Tena anakuumiza
Ngoja tuoneHizi ndoa naona skuizi zimepoteza thamani yake kwa kujadiliwa hata pasipo stahili...
Misijaoa bado, ngoja tu nisubiri wenye maumivuyao wakuje na komenti ili nisome..[emoji41][emoji41]
Labda unieulize kama sijagongwa, au unaona nafanana na Me?mkuu kwani we hujagongewa bado?
dah! ID zakificho nazo mtihan mtupu maana kuna midume inawekaga sura za kike kwenye avatar ndo maana ni ngum kutofautisha mkuu, je wewe hujawahi gongwa mkuu, na kama uligongwa mumeo alijisikiaje?Labda unieulize kama sijagongwa, au unaona nafanana na Me?
Nyie ndo mnaumia sio sisi. Anaweza akawa amekugongea demu wako huwezi jua mkuuWwe vipi mmeo Yuko salama au kangewa mara ngapi?
Haha ukiona hivyo hampendi mume wake ,Yani mtu Ni mchepuko bado anakuumizaHivi mchepuko nae anauma? Mbona huyu Dada anaendeshwa na kajamaa afu kamwanaume kenyewe kana Mke wake, mtu hujamuoa ni mchepuko unaanzaje kumuonea wivu?
Au ndo mapenzi yenyewe? Maskini mdada wa watu ,bonge la mdada ,shape kama yote, anateswa na ka mjamaa kanalingana kama meza[emoji16][emoji16]
Ati Jana ananiambia analia, 'mwanaume ananitesa, wivu ndo usiseme, nikamuuliza mwanaume yupi? Akajibu eti si yule[emoji16] eti kale ka mchepuko.
Kweli mapenzi yana nguvu , kama huyu Dada na chura yake kama ile beseni kubwa ya kufulia nguo, kama anateswa na ka mjamaa kanalingana na kijiko, Mimi ni nani nisiteswe??
Hivi wanawake wenzangu mchepuko ni wa kuleta ndani kwako? Seriously?
Hao wa hivyo hawajiamini au wako kwa bness fulani humu any way usijali. Mie sijagongwa bado nina miaka 7 kwny ndoa sitegemei kugongwadah! ID zakificho nazo mtihan mtupu maana kuna midume inawekaga sura za kike kwenye avatar ndo maana ni ngum kutofautisha mkuu, je wewe hujawahi gongwa mkuu, na kama uligongwa mumeo alijisikiaje?
Habari za kazi Wana JF,
Naomba kuuliza. Nasikiaga wanaume wengi mkisema mke anauma sana, naomba kujua kivipi.
Kwa mfano:
Utakuta mtu anagombana sana na mke wake na kuonyesha kutokumjali kabisa pamoja na kumpigia lakini huyo mwanamke akijaribu kumpima Imani mume wake mfano aseme naondoka naenda kwa mwanaume wa kunipa furaha, au amwambie kuna waliokuzidi, au nina mtu wangu wanaume yule yule aliyekuwa mbogo lazima aingiwe tena na wivu na hasira zaidi.
Sasa najiuliza mtu yuleyule uliemwita mjinga mara hana shape, hana sura mbaya, malaya, unajuta kuwa naye akijibu tu mapigo mbona huwa mnaumia, mtu ambaye ushasema unajuta kuwa naye mbona tena anakuumiza.
Ngoja waje waliogongewa wake zao watwambie kama wanauma au?
nyie ndo mnasemaga baby kimoja kinatosha alafu mnapigwa hadi vi4 hata hamshtukiHaha ukiona hivyo hampendi mume wake ,Yani mtu Ni mchepuko bado anakuumiza
Alafu mwanamke uliyeolewa unapatapi muda wa kuongeza na mchepuko
Ukisikia tabia za barabarani kuzileta ndani kwako ndo Hilo
Mwanaume mmoja tu ananitoa jasho ,nikiongeza wa pili watoto ,kazi ,ndugu kuhandle familia nitachizika
Nimeshalijibu hili swali huko juu mkuuWeye umeshawahi kugongwa nje na Mume wako/BF hakujua au ilikuwa varangati?