Uliwah kushuhudiaaa ha hassNasikia lazima wakati wa kupika na uwe uchi kabisa usiwe na nguo yeyote ndo chakula huwa kitamu mbaya..
Eeer ngoja nikumbuke......m,n,h,d,.....aisee ni kweli.Hebu wana MMU tuliongelee hili kidogo sijui kama lina ukweli wowote...
Eti bidada akiwa mpishi mzuri wa chakula yaani kina ladha nzuri, kuna watu wanadai kuwa hata kitandani pia anakuwa ni mtamu hivyo hivyo kama chakula chake.
Wajuzi wa hii kitu naomba kuuliza kuna kaukweli hapa au ni projo tu??
Kama ni hivyo nikajiunge kozi kabisa ya mapishi vyuoni huko lol.
Anapikaje au anasemajeMpenzi wako anasemaje??
Halafu apikie jiko la mkaa humu amekalia kigoda au kibao cha mbuzi.Nasikia pia chakula chaweza kuwa kitamu kama mwanamwali atakipika huku akiwa hajavaa "KASEJA" ..a.k.a mlinda mlango!.
Anasemaje..Amuulize mpenzi wake amwambieAnapikaje au anasemaje
Nasikia lazima wakati wa kupika na uwe uchi kabisa usiwe na nguo yeyote ndo chakula huwa kitamu mbaya..
we umesema kweli! na msema kweli ni mpenzi wa mungu! wanawake wetu zenj kitandani for sure hammna kitu!Feeling zakoo tuu.....mi stakii kuaminii hayooo cz kupkaa hakumfany mtuu kuwaa mtam naa yy mfanoo waa zanzbr wadada wengi wanajuaa kupkaa lakn kwny 6*6 wavivu.....mapnz yao yaa kuigizaaa....
we umesema kweli! na msema kweli ni mpenzi wa mungu! wanawake wetu zenj kitandani for sure hammna kitu!