Hivi ni kweli kwamba mwanamke anayepika chakula kitamu na yeye ni mtamu?

Linaweza kuwa la ukweli lakini bahati mbaya vijana siku hizi wakitafuta wachumba wanajaribisha zaidi kitandani kuliko jikoni matokeo mimba kabla ya kuonja chakula chake cha jikoni BAD TIMING
 
Mwanamke anaweza kuwa mjuzi wa mapishi na asiwe mtamu au akawa mtamu na asiwe anajua kupika
 
We Mchumba nitakuoa wewe, shauri yako. Hapa hamna ukweli wowote, kama kungekuwa na ukweli basi kina Mama ntilie wote wangeolewa na wasingepewa ruhusa ya kuuza vyakula. Utamu wa kitandani unatokana na ubunifu wa mtu. Naomba contacts zako tuzungumzie haya faragha kidogo.[/QUOTEnitFute fRagha
 
Mwanamke apike chakula kitamu halafu na yeye awe mtamu hapo sahau ni wachache sana.
 
Back
Top Bottom