Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

Sina shaka hata kidogo nimemuelewa mtoa mada. Namnukuu; "tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa".

Kusubiri parapanda la mwisho na ufufuo wa wafu, ni mambo ya imani. Mtoa mada anataka jibu liwe nje na imani. Anataka kujua kama kuna maisha baada kifo. Anataka kujua hali (status) ya maisha baada ya kifo. Hilo ndilo swali lake.
Ni swali la kisayansi nadhani.
kabisa umenena vyema lakin ninachoona asilimia 99 ni majibu ya kiiamin zaid
 
Back
Top Bottom