Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

Tunapigana kamba tu mkuu!.. wenye akili wanacheza na bongo zetu wanatufanyia vurugu ili tusile raha hapa duniani!. Just imagine unaenda eti kutubu kwa padri ukiamini yeye ni mtakatifu wakati hujui matendo yake!, serious kama unaakili huwezi fanya hivi am telling you.

Hakuna Cha pepo hakuna cha moto isipokuwa ukienda kinyume na nature laws mazingira yatakuadhibu hapahapa hakuna kusubiri.
Tendo la kwenda kutubu Kwa binadamu mwenzako NI aibu kubwa Kwa binadamu anaetumia akili yake timamu
 
mke wangu hapo baadaye anakuja nioa ,yeye anakuwa mume na mimi nabadilika kuwa mke

kwa maana hiyo watu wanamsubir Jesus kumbe amesharud kitambo tu

kwa maana hiyo hii siri kuna wanaojua ukwel wakatengeneza mazingira ya kuwapotosha wengi ukwel
Hii sio siri kwa wengi, hasa baadhi ya madhehebu ya dini tofauti na Uislam na Ukristo hili jambo wanalifahamu, hata hizi dini mbili pia limezungumziwaa japo kwa mafumbo, ndugu hii kitu kama kweli una nia ya kujua ukweli endelea kuutafuta hata nje ya mipaka ya fikra za kawaida na majibu utayapata,

Iko hivi, unaweza kukutana na mtu katili sana, ama mlevi, ama kahaba ama ana shida fulani kwenye mwili wake, wenzetu huwa wanaenda kwa wataalam wa elimu hiyo na kuomba kujua sababu ni nini, mfano kwanini wapo hivyo, na hapo ndipo tiba inapoanzia, wengi hurudishwa maisha yao ya nyuma hata millennia nyuma, na kujua chanzo cha tabia walizonazo sasa, na wengine huenda future na kujua baada ya kufa watakuja na mission gani baadae..

Binaadam anakufa mwili tu.
 
naona bado kuna safar ndefu ya kujifunza kuhusu hii kitu
 
Mhubiri : 9 : 5 - kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
""lakini wafu hawajui neno lolote""
""lakini wafu hawajui neno lolote""
""lakini wafu hawajui neno lolote""
""lakini wafu hawajui neno lolote""
""lakini wafu hawajui neno lolote""
 
Sioni Muislamu akaanzisha thread kma hii ya kijinga mna Imani ya kiislamu inamfundisha mtu mambo yote haya
 
Sema mbinguni kutakuwa na sehemu kubwa sana ya kuhifadhi vitu vyote vinavyokufa huku duniani mf, watu, miti, ng'ombe, sisimizi, nyoka, mwewe nk.
Kafukue kaburi kama utakuta hakuna miili kwa maana kwamba imeenda mbinguni. wanyama tunakula wanaendaje mbinguni? Miti tunachoma mkaa tunapikia yanabaki majivu, sasa miti inaendaje mbinguni?
 
Habari wanazengo,

Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa.

Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha baada ya kufa au ndiyo ukifa umekufa mazima!
Yapo. Tena hayana kikomo.
 
Mbona Biblia takatifu katika kitabu cha ufunuo wa yohana ameelezea vyote kwamba baada ya kifo nini kinafuata.
Pia kitabu cha wathethalonike 4:13-18
Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti. Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele. Basi, farijianeni kwa maneno hayo.
 
Tunapigana kamba tu mkuu!.. wenye akili wanacheza na bongo zetu wanatufanyia vurugu ili tusile raha hapa duniani!. Just imagine unaenda eti kutubu kwa padri ukiamini yeye ni mtakatifu wakati hujui matendo yake!, serious kama unaakili huwezi fanya hivi am telling you.

Hakuna Cha pepo hakuna cha moto isipokuwa ukienda kinyume na nature laws mazingira yatakuadhibu hapahapa hakuna kusubiri.
Hapo kwenda kutubu kwa padri huwa ni mind game tu. Kinachofanyika ni sawa na wataalam wanaotoa huduma za ushauri na sahau wa kisaikolojia. Maana kadri unavyo elezea mtu mambo yanayokusibu ndivyo kadri unavyozid kujihisi unatua mzigo moyoni mwako.
Kale huwa ni kamachezo ka akili tu
 
Vipo vitu ambavyo kwa kutumia akili tu hivi hivi unaona hivieleweki hadi pale upatapo maelezo ya kisayansi. Kuna vitu ni vyenye kushangaza pamoja na kwamba vina maelezo yake mazuri ya kitaalamu kwanini iko hivyo,vitu kama Meli lenye mamia ya makontena kuelea ila shilingi huzama au midege mikubwa kuweza kupaa angani bila kuanguka ni katika vitu vyenye kushangaza japo vinaelezeka vizuri.
 
kwa kwel havieleweki
 
Watu tuko on autopilot (zombie mode) amka asubuhi, hangaika huko duniani doing jobs you dont like ili upate pesa Kununua things you don't really need ili ku impress people you don't really like, urudi nyumbani usiku, angalia tv, lala, repeat, Hadi ufe!!!! Na wanao waendeleze u zombie life!!
Fact! Life cycle..!
 
Back
Top Bottom