Hivi ni kweli iPhone, Infinix na Tecno ni simu za wanawake?

Hivi ni kweli iPhone, Infinix na Tecno ni simu za wanawake?

Kuna siku kwenye jukwaa letu la kubeti kuna mwekezaji mwenzetu akawa anasema eti app ya 1xbet ambayo sisi tunapakua na kutumia bure, kumbe wao kwenye simu zao fulani wanalipia eti!

Sasa hiyo simu au mchepuko!
 
Kwangu mimi hzo ndio simu za kiume sasa, maana nikichaji Tecno yangu Common 20 usiku then nashinda nayo kutwa nzima nikiperuzi na kudadisi the whole day na sibebi chani popote
 
Back
Top Bottom