Sizitaki mbichi hizi, waswahili wabaposhindwa ku afford such devices, basi wanatafutia jina baya au msemo mbaya ili washushe dhamanikuna wangese wakikuta wanaume tunatumia iphone/infinix wanasema acha kutumia simu za wadada.
hii ni commercial inferiority complex yan nisitumie iPhone/infinix eti kisa wanasema ni ya mama.Sizitaki mbichi hizi, waswahili wabaposhindwa ku afford such devices, basi wanatafutia jina baya au msemo mbaya ili washushe dhamani
Acha biti wew jibu wew ni jinsia gan picha haisaidii kituHizi ni strong accusations bob tutaznguana spend miyeyusho ya hvo
mchina kashindikanaHaha Mchina kateka soko la simu Africa mpaka la mayai kariakoo.
hata SGR ni yeye na VETA zikianza kuwa dili watamleta afundishe.mchina kashindikana
kwenye bwawa la umeme rufiji mchina alinyimwa tenda na magufuli akapewa mwarabu
ila mwarabu huyo huyo kazi ngumu za bwawa haziwezi hivyo kamuuzia mchina kama subcontractor
mwisho wa siku mchina kalamba zaidi ya trilioni 4 kwenye bwawa alilonyimwa tenda
OkNimeshakujibu
Yaan ameuliz as if Simu zitasehem ya kike ya kukojolea auz zina vaa PedNi watu wenye upeo mdogo ndio wanaosema hivyo.
Inashangaza sana mkuuYaan ameuliz as if Simu zitasehem ya kike ya kukojolea auz zina vaa Ped
Kwasasa makampuni mengi upande wa chaji wapo vizuri shida inakuja kwenye bei.Binafsi nazikubali infinix zipo vizuri upande wa chaji huwazii kuchaji kila wakati.
NdioHahah kumbe maana Infinix & Tecno ni Power bank kabisa kuna moja niliona ina 7000mAh