Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,333
- 72,659
Yule boya sijui ana shida gani na mimiNdo nataka nikwambie naona umeniwahi. Hahaha.
Yule boya sijui ana shida gani na mimiNdo nataka nikwambie naona umeniwahi. Hahaha.
ingekuwa hivyo sawa lakini hamna....either anatafuta kiki au kunichafua tu..... Kwa taarifa yako kama ulikuwa hujui huyo Alosto ndio mwenye ID hizi HR 666, JORDI POLA, YEEZUS 1&2, MGEGEDAJI, CURRICULUM akipigwa Ban anahamia nyingine...Umemchukulia demu ake nini. Naona anakuandama mmmmmmmno. Hahah.
ingekuwa hivyo sawa lakini hamna....either anatafuta kiki au kunichafua tu..... Kwa taarifa yako kama ulikuwa hujui huyo Alosto ndio mwenye ID hizi HR 666, JORDI POLA, YEEZUS 1&2, MGEGEDAJI, CURRICULUM akipigwa Ban anahamia nyingine...
Bahati nzuri yupo kwenye ignore list kwa hiyo hanisumbui sana
Nilimreport kala Ban na uzi umefutiliwa mbaliOoh okay, now I got u buddy. Sjui anapata faida gani aisee.
Jinga kabisa.
Poa poa aisee KIOOWow, that's great buddy. Ndio dawa yake mtu kama huyo.
Safi kabisa.
poapoaTuko pamoja Jo.
Lol.