Hivi ni kweli hazisomi?

Siimay

Member
Jul 13, 2011
59
11
Wasalaam aleukum bandugu bapenzi,na baada ya salaamu hii naomba kuwasilisha kile ambacho Kinanisumbua kichwa changu na kuhitaji elimu ama. Uelewa katika hili...je ni kweli kuwa hakuna mashine maalumu za kumkagua ama kumbaini mtu kama kabeba madawa ya kulevya mwilini mwake?maana kuna rafiki yangu ananiambia kuwa wale wanaokamatwa airport ni ama wameuzwa na watu wao wa karibu ama kuhisiwa wanapokuwa ndani ya ndege either kwa uchaguzi wa vyakula wanavyopenda kutumia!!nahitaji elimu ya ufahamu katika hilo..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom