miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,110
sana...!
Haya....nitajaribu
sana...!
ha ha ha ha siwezi kuacha kuja jukwaa lile ...best zikuwepo ila nimerudi rasmi ....Sikuoni siku izi kwenye umbea, au shem kakukataza??
hahaaaaa madame b niuzie na mimi.... Hahaaaaa...eti kuuza mechizinaumiza sana, tena kwa mfano mimi nikitumia, mpaka tumbo la chini linauma.
Ndio maana naamua niuze mechi tu.
Ni kweli zinaumiza
Nimemuuliza so inakuwaje? (bado hajanijibu).
kwahiyo unanishaurije?
Ndio sio kuumiza tuu na kuchubua zina chubua
kabuuuuuuu!
Zinaumiza sana, tena kwa mfano mimi nikitumia, mpaka tumbo la chini linauma.
Ndio maana naamua niuze mechi tu.
condom zinamuumiza nani sasa?mkunaji au mkunwaji.mi binafsi sijawahi kutumia condom!
kama wako