Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,732
- 2,398
Kaka owa acha zinaa...!
Ndio ushauri wenye kufaa zaidi kuliko kuwa kondom inauma au haiumi!
sasa akiowa halafu aache zinaa mke wake atamgonga nani?
Kaka owa acha zinaa...!
Ndio ushauri wenye kufaa zaidi kuliko kuwa kondom inauma au haiumi!
Nianze tu kuvaa condom, bora nisigonge kabsaa. pima babu, pimeni, hayo macondom hata usalama wake ni mdogo sanna.
Ndio...
kupima haisaaidii,mnaenda kupima wakati mmoja wenu kauza mechi juzi na akaukwaa ugonjwa hautaonekana.
Sasa mwenzetu si hata ukiona chupi za kike dukani inasimama?
weeeeeeeh penye raha ndo iwe kwenye upepo aaaaah wap...!
Jamani kuna msichana jirani yangu nimezoeana naye sana, sijawahi tongoza cause sikuwa na plan naye but nina namba yake so huwa nachat naye.
Kwenye chatting huwa kananitegatega mara oh njoo tulale,sasa leo kimvuamvua hiki kimenishawishi nimtolee uvivu, nimemuomba mzigo kupitia simu.
Nilivyomuomba akasema naogopa, nikamuuliza unaogopa nini? Akajibu mimba. Nikamuuliza kwani condom hazipo? Akasema condom zinaumiza. Nimemuuliza so inakuwaje? (bado hajanijibu).
Je ni kweli condom zinaumiza au anataka kunipa ngwengwe?
Ha ha ha ha ha ha
unacheka, mazuri hayo?
kama anaogopa mimba kula 0713
Zinaumiza sana, tena kwa mfano mimi nikitumia, mpaka tumbo la chini linauma.
Ndio maana naamua niuze mechi tu.
hahahhahaha:biggrin::biggrin::biggrin: kuishi na viganja shavuni ni sooo...Cndm ni kero sana tu,ila hatuna jinsi. Kwa hii dunia iliyojaa wehu ni bora hayo maumivu kuliko kuanz kutumia arv. Kama unatak kumridhisha mdada kwel kwel,cndm haifai,coz hawa dada zetu wana muda wao ambao lazm uujue,asa hii kitu inaisha hrk sana(depreciation),ndo mana inaboa. Ila ni bora uendelee kuganga nayo,kuliko kuishi kignja shavuni.
I could have asked the same question coz most girls I met, complained kuhusu condom kuwasha