Makiri Unguluma
JF-Expert Member
- Jul 21, 2011
- 987
- 335
Wewe hujawahi mwenzako ana uzoefu kuwa condom zinaumiza 1+1= 14
mpaka mvua iishe mbona tutasikia mengi
Zinaumiza sana, tena kwa mfano mimi nikitumia, mpaka tumbo la chini linauma.
Ndio maana naamua niuze mechi tu.
Jamani kuna msichana jirani yangu nimezoeana naye sana, sijawahi tongoza cause sikuwa na plan naye but nina namba yake so huwa nachat naye.
Kwenye chatting huwa kananitegatega mara oh njoo tulale,sasa leo kimvuamvua hiki kimenishawishi nimtolee uvivu, nimemuomba mzigo kupitia simu.
Nilivyomuomba akasema naogopa, nikamuuliza unaogopa nini? Akajibu mimba. Nikamuuliza kwani condom hazipo? Akasema condom zinaumiza. Nimemuuliza so inakuwaje? (bado hajanijibu).
Je ni kweli condom zinaumiza au anataka kunipa ngwengwe?
Ndio sio kuumiza tuu na kuchubua zina chubua
condom zinamuumiza nani sasa?mkunaji au mkunwaji.mi binafsi sijawahi kutumia condom!
Na sio hivyo tu........pia zina washa na kuuma uma........condom hazina tofauti na chemicals zilizotumika kutengeneza bomu la scud...........
wewe mwenyewe kende,,, condom mwachie dushe.....