Mfikiri
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 586
- 124
Jamani nimekutana na hii kitu mitaani wakati nagonga castle lite yangu ya baridddddddiiiiii kitaaa baada ya kutoka kupambana na majukumu ya kujenga taifa. kijana mmoja nilikuwa nimekaa nae meza moja tukibadilishana mawazo ndipo akanimegea hii kitu, nami nikaanza tafakari, je kuna ukweli katika hili, kwa wale wenye utaalamu na hili naomba wanijuze niipotezee kwani nimeanza kugonga hii makitu ni wiki ya pili( baada ya kutokea kwenye kilele cha ubora kilimanjaoro) ila bado performance home naona bado ipo sawa. naogopa isije shuka ikawa noma. huyu jamaa alienijuza nae kapata juu juu hana evidence.