Hivi nyumbani kwenu hakuna choo cha kujisaidia?Shukrani kwa serikali angalau kufanya maisha yasiwe magumu vyuo vikuu wakatupa tuhela twa kujikimu. Kuna siku nlikuwa mitaa fulani nikasikia mtu analalamika..hawa wana vyuo jaman hawaridhiki na mahela yote hayo...wew ungemwambiaj mwana JF