Hivi ni kweli au naota tu!

Hivi ni kweli au naota tu!

Hebu subirini kwanza, msinichanganye, inawezekana hiki kipimo ni cha mchina, hakisemi kweli.
Nadhani hii ni ndoto tu na itaisha wakati wowote
Tuombe isiwe hivyo. Tafuta kipimo chenye uhakika.
 
inaelekea doctor alikosea Zinduna kile hakikuwa kidole tumbo bali kijitu tumbo!! lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom