TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,046
Lazima tubadilike,usafi ni jukumu letu sote!
Lazima tubadilike,usafi ni jukumu letu sote!
Trafiki lazima wafahamu kuwa kuna watu na viatu!
Huyu mtu lazima afe!
Maneno ya mkosaji!
Hapa hatuwezi kufika salama!
Hii inatokana na kuwepo kwa waandishi wengi wachumia tumbo!
Hapa bongo kuna watu wananufaika sana na ubabaishaji tulionao!
Mijitu inapenda sana kuwasha moto bila sababu ya msingi!
Mambo ya kitoto bana!
Itatumaliza!