Ni kweli Serikali Imeshindwa kabisa kumthibiti Zumaridi?

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,710
Reaction score
18,174
Serikali ya Jamuhuri ya Muungano Imeshindwa kabisa kumuthibiti Zumaridi au serikali iko likizo kama anavyosema Polepole mpaka yatokee ya kibwetele ndo mtakulupuka mbio aya ni maajabu ya Tanzania Gwajima kafungiwa makanisa yake lakini Zumaridi yuko anadunda
 
Ujinga na ushamba tu unakusumbua.
 
Imdhibiti kwa kosa gani hasa??
Mbona Mwamposa alishapelekea mauaji ya makumi ya watu wakikanyaga mafuta na hajadhibitiwa mpaka leo?!
Kwa hiyo kosa Makosa ya Mwamposa yana alalisha makosa ya Zumaridi nyie vijana hata hamjui huwa mnapigania nini shame on you mtu kama wewe kuandika comment ya kijinga kama hii
 
Nadhani tukomae kumdhibiti Abdul ambaye anateka watu, anafanya ufisadi, analeta silaha nchini, anapora viwanja vya watu,.n.k.

Zumaridi hamfuati mtu nyumbani.kwake.. Kosa lake nini?
Yakitokea ya kibwetele mtakuja serikali ndo itabeba lawama pia kwenye ili na kusema serikali ilishidwa kuthibiti mapema lazima kama kweli mzalendo tukemee aya
 
Kwa hiyo kosa Makosa ya Mwamposa yana alalisha makosa ya Zumaridi nyie vijana hata hamjui huwa mnapigania nini shame on you mtu kama wewe kuandika comment ya kijinga kama hii
Kwani kuna mtu anelazimishwa kumfuata?
Wewe huna akili kabisa. Kila mtu ana uhuru wa kuabudu.

Kama ukitaka dini ya kweli kila mkristo itabidi awe Mkatoliki upo tayari kulazimishwa?
 
Serikali ya Jamuhuri ya Muungano Imeshindwa kabisa kumuthibiti Zumaridi au serikali iko likizo kama anavyosema Polepole mpaka yatokee ya kibwetele ndo mtakulupuka mbio aya ni maajabu ya Tanzania Gwajima kafungiwa makanisa yake lakini Zumaridi yuko anadunda
acha wivu kakufanya nini?
 
Yakitokea ya kibwetele mtakuja serikali ndo itabeba lawama pia kwenye ili na kusema serikali ilishidwa kuthibiti mapema lazima kama kweli mzalendo tukemee aya
Serikali ikukamate wewe isije ikatokea ukaja kuiba siku moja.
 
Serikali ya Jamuhuri ya Muungano Imeshindwa kabisa kumuthibiti Zumaridi au serikali iko likizo kama anavyosema Polepole mpaka yatokee ya kibwetele ndo mtakulupuka mbio aya ni maajabu ya Tanzania Gwajima kafungiwa makanisa yake lakini Zumaridi yuko anadunda
Zumaridi ni ccm tena kwa sasa anatumika na waislamu wa ccm kuwa brainwash wakristo na kuwa potezea muda
 
Back
Top Bottom