Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,074
- 34,844
- Thread starter
- #401
Mkuu MziziMkavu kumbe na wewe ni mwanasiasa!
Teh teh teh!jamaa hawezi kulala bila ku'do' akiwa ugenini!
Hapo hakuna mapenzi ya kweli ni wizi mtupe!
Teh teh teh!hivi haya mambo bado yapo siku hizi?
Teh teh teh!mambo ya munde!
Ni ndoto ya mchana kwa nchi yetu!
Sasa tumefika ukingoni mwa safari yetu!
Hili ni bomu linasubiri kulipuka!