Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,742
- Thread starter
- #341
Haya mabadiliko yamezua tafrani!
Maisha yamekuwa magumu sana,mbaka watu wanabuni njia za ajabu za kujipatia kipato!
Mzoea samli,nazi haiwezi!
Serikali haijali kabisa maslahi ya wataalamu wake!
Potelea mbali ilimladi mimi nipate pesa sasa!
Teh teh teh!wazungu ni watu wabaya sana!
Duh!inasikitisha sana,hawa watu wanahitaji msaada wetu!
Kufa njaa kwa ujinga wako,kwa unaendekeza sana ugaidi!
Kweli imefika wakati lazima tupende vyakwetu!