Hivi ni kwanini Watanzania wanapenda sana kupiga?

We unastahili makofi akili ikukae sawa, Uzi gani huu unatuletea hapa
Je, sisi ni violent society? Watanzania wanapenda sana kutumia nguvu kutatua tatizo, kila kitu utasikia nitakutandika, hata JF utasikia mtu anakwambia ungekuwa karibu yangu ningekupiga ngumi, kidogo utasikia yule jamaa karibia nimzabe makofi, sasa ni kwa nini? Ni nani anakupa haki ya kumzaba makofi mwingine? Kwa nini hamuwezi kutatua matatizo bila ya kupiga?
Ukimpiga mtu unasikiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi nawazaga wale wanaopenda kupiga churaaaa....sijui ni mzukaaa ama kumrudisha mtu mawazo yawe paleee.... 🤣
 
Je, sisi ni violent society? Watanzania wanapenda sana kutumia nguvu kutatua tatizo, kila kitu utasikia nitakutandika, hata JF utasikia mtu anakwambia ungekuwa karibu yangu ningekupiga ngumi, kidogo utasikia yule jamaa karibia nimzabe makofi, sasa ni kwa nini? Ni nani anakupa haki ya kumzaba makofi mwingine? Kwa nini hamuwezi kutatua matatizo bila ya kupiga?
Ukimpiga mtu unasikiaje?
Ukishaamua wananchi wako waishi bila uhuru na amani ya kweli mioyoni mwao matokeo yake ni hayo!
Watu wanapoteza ubinadamu. Ni kununa na kufokeana. Mwenye nguvu ndiye bosi wengine wasio na nguvu wangeuzwa watumwa.
It's an animal world out there now!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je, sisi ni violent society? Watanzania wanapenda sana kutumia nguvu kutatua tatizo, kila kitu utasikia nitakutandika, hata JF utasikia mtu anakwambia ungekuwa karibu yangu ningekupiga ngumi, kidogo utasikia yule jamaa karibia nimzabe makofi, sasa ni kwa nini? Ni nani anakupa haki ya kumzaba makofi mwingine? Kwa nini hamuwezi kutatua matatizo bila ya kupiga?
Ukimpiga mtu unasikiaje?
Mkuu jibwa ni jeuri ya pesa tu. Kwa mfano mimi nina hela nyingi hadi nimetungiwa jina la utani chemichemi yani nabubujika hela tu. Kwa muktadha huu najawa na jeuri, nyodo, ngebe na madharau. Unaweza nikuta naenda kwenye hadhara kama kariakoo nakuanza kuzaba watu mfululizo wa makofi hovyohovyo na kila kofi nalipa laki
 
Back
Top Bottom