awamuyetu
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 307
- 137
ππππMm niliomba azam wanifutie kabisa wakanielekeza jinsi ya kuilock ili watoto wangu wasije wakaharibika akili
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππMm niliomba azam wanifutie kabisa wakanielekeza jinsi ya kuilock ili watoto wangu wasije wakaharibika akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaniuliza mimi.Toa data sasa.
Acha porojo.
Tuambie sample size na utoe results then tujadili.
Hili lichaneli lilaaniwe. Siwezi kupoteza muda wangu kuangalia tbccm. Ninalo kwenye ving'amuzi vya azam na dstv. Nina mpango wa kuli-block. Litaleta najisi hapa home.Ving'amuzi vinavyotumiwa na watu wengi nchini Tanzania vya DSTV na AZAM vimezima local channels zote na kubakisha TBC peke yake , lakini cha kushangaza wananchi hawataki hata kuangalia local channel pekee inayopatikana kwenye ving'amuzi hivyo pamoja na kwamba gharama yake ni bure !
Hii inamaanisha nini ?
πππππππHili lichaneli lilaaniwe. Siwezi kupoteza muda wangu kuangalia tbccm. Ninalo kwenye ving'amuzi vya azam na dstv. Nina mpango wa kuli-block. Litaleta najisi hapa home.
Mbona umePanic Bro.!!! Wewe ndio mzee tbc mwenyewe nini?? Be cool manHizi tafiti nyingine bwana... Hivi umepitia dirishani kwa kila mtanzania mwenye TV ukachungulia ukajiridhisha kuwa wanaangalia chanel gani?, mimi binafsi siangalii TV kabisa, achilia mbali TBC. Ila siwezi kuwaongelea watanzania eti hawaangalii chanel fulani.Muwe mnajiongeza kidogo, sema hata ndugu zangu au rafiki zangu wote kidogo tutakuona unaongelea uhalisia. Tatizo lenu mnahisi kila mtu yupo upande wenu ndo maana mnahisi mna support kubwa na hili swala litawaangusha sana mwakani kwenye uchaguzi. Na najua mtasingizia kuibiwa, ila nitakaa nawakumbusha watanzania sio mafala tena kudeki barabara na kuzungusha mikono hovyo kama NYUMBU.
Mkuu ku guess eti nafanya kazi TBC hakufanyi tafiti yako kuwa kweli. Mi nina zaidi ya mwaka tangu niangalie TV niko bize sana. Ila siwezi kuwasemea watanzania eti wanaangalia chanel fulani. Huo ni Upungufu wa kutumia akili. Mtu yeyote anayetumia LOGIC kufikiria hawezi kukubaliana na wewe. Sema ndugu zako au rafiki zako wote hawaangalii TBC tena. Msiwe mnawasemea watanzania ni UPUMBAVU.
Mkuu maada inasema TBC tuWalipiga deki kwa ajili ya Mh lowasa si chadema. Hata mikono ilizungushwa na kamsemo ka mabadilikooo' Lowasaaa' Lowasaa' Mabadilikoo.. Walionyesha imani kubwa kwa kada huyu mtiifu wa Ccm na si chadema.
Mbona mkali au unandugu anafanya Kazi TBC?Hizi tafiti nyingine bwana... Hivi umepitia dirishani kwa kila mtanzania mwenye TV ukachungulia ukajiridhisha kuwa wanaangalia chanel gani?, mimi binafsi siangalii TV kabisa, achilia mbali TBC. Ila siwezi kuwaongelea watanzania eti hawaangalii chanel fulani.Muwe mnajiongeza kidogo, sema hata ndugu zangu au rafiki zangu wote kidogo tutakuona unaongelea uhalisia. Tatizo lenu mnahisi kila mtu yupo upande wenu ndo maana mnahisi mna support kubwa na hili swala litawaangusha sana mwakani kwenye uchaguzi. Na najua mtasingizia kuibiwa, ila nitakaa nawakumbusha watanzania sio mafala tena kudeki barabara na kuzungusha mikono hovyo kama NYUMBU.
Lete utafiti wako,unaothibisha unachokisema,maana pia mimi ni mtanzania,lkn TBC huwa naicheki Mara kwa Mara,nikibadilisha TBC safari au azam,sasa unaposema watanzania inamaana hata Mimi simo! Na je mkutano wa Mheshiwa Raisi na wafanya bi.ashara Watu waliufuatlia kwa kupitia channel gani!?Ving'amuzi vinavyotumiwa na watu wengi nchini Tanzania vya DSTV na AZAM vimezima local channels zote na kubakisha TBC peke yake , lakini cha kushangaza wananchi hawataki hata kuangalia local channel pekee inayopatikana kwenye ving'amuzi hivyo pamoja na kwamba gharama yake ni bure !
Hii inamaanisha nini ?
Mm niliomba azam wanifutie kabisa wakanielekeza jinsi ya kuilock ili watoto wangu wasije wakaharibika akili
Sent using Jamii Forums mobile app