Hivi ni kwanini wanawake wanatuomba hela?

Hivi ni kwanini wanawake wanatuomba hela?

Hapa na umiza kichwa sana, ni kwanini wanawake wanatuomba hela sipati majibu kabisa

Awe sio mkeo anaomba hela

Awe ni mkeo anataka hela

Awe ni rafiki wa kike anaomba hela

Awe ni mpenzi au mchumba anaomba hela

Awe hata ndo umetoka mtongoza anaomba hela

Ni kwanini basi wanawake wanatuomba hela sisi wanaume , hata akiwa na kazi atomba hela haijalishi ana hela nyingi bado ata omba na akiwa hana kazi ataimba hela na papuchi atatafuta namna akupe ili aendelee kukuchuna.

Je, ni kwanini?
Unauziwa uchi. Kaa kitaalam
 
Mind set na utumwa was fikra!!

Nataka niondoe hii mentality Kwa watoto wangu!!

Independent freedom inahitajika kwao!!
 
Hapa na umiza kichwa sana, ni kwanini wanawake wanatuomba hela sipati majibu kabisa

Awe sio mkeo anaomba hela

Awe ni mkeo anataka hela

Awe ni rafiki wa kike anaomba hela

Awe ni mpenzi au mchumba anaomba hela

Awe hata ndo umetoka mtongoza anaomba hela

Ni kwanini basi wanawake wanatuomba hela sisi wanaume , hata akiwa na kazi atomba hela haijalishi ana hela nyingi bado ata omba na akiwa hana kazi ataimba hela na papuchi atatafuta namna akupe ili aendelee kukuchuna.

Je, ni kwanini?
Mwanamke hawezi kukuomba ukamlale, hiyo ndio namna yao ya kukwambia ana nyege.
 
Yai la mwanamke linatoka mara moja kwa mwezi, wakati mbegu za kiume zinazalishwa kwa mamilioni kila siku! ... zaidi ya hapo, mara tu yai linaporutubishwa inabidi tungojee zaidi ya miezi tisa ndio kiwanda cha mayai kianze tena kufanya kazi kwa mapozi!
MAYAI YA KIKE NI GHALI SANA UKILINGANISHA NA SHAHAWA ZAKO, KWAHIYO WAHESHIMU SANA WAMAMA! ... NA JIPENDEKEZE SANA KWA KUTOA ULICHO NACHO USIJEZIDIWA MAARIFA HATA NA JOGOO!

View: https://www.youtube.com/watch?v=4jf0lMHY9TA&pp=ygUfcm9vc3RlciBzZWR1Y2luZyBoZW4gdXNpbmcgZm9vZA%3D%3D
 
Kwasababu mwanamke kaumbwa kutoka ubavuni kwako....anakutegemea dear, usimuangushe we mpe hela.
Huyo aliumbwa kuwa msaidizi tena baada ya mimi kuzidiwa na kazi nilizopewa pale bustanini. Hakuumbwa kuwa tegemezi bali kuwa msaidizi. Acheni wanawake kujitoa ufahamu kasome upya huko ulipotoa hiyo comment yako uelewe mwanamke ni nani na jukumu lake kuu la kwanza kabla ya kuambiwa kuzaa kwa uchungu ni nini?
 
Kuna lingine hapa nimekutana nalo jana kwenye event flan
Kosa kufahamiana na kubadilishana namba. Likaanza bro sina vocha, nikalipa gwala liweke vocha.
Leo asubuhi naamka nakuta miss call 2. Mara paap sms, bro nna shida ya alfu kumi naomba nisaidie.
Daah... Kuna midem ina njaa hadi kero!
Sometime hata km ni njaa wasijionyeshe sana.
Hata km ulikuwa na mpango nae lazima utoke Nduki
Huyo ni Maku-Mazan.😁
 
Wana chama chao cha omba omba kina itwa OMBA OMBA UNITED .wame omba kisi jumuishwe kwenye chama cha walemavu ,wao wajitegemee
 
Back
Top Bottom