Hivi ni kwanini wanawake wanatuomba hela?

Hivi ni kwanini wanawake wanatuomba hela?

Hapa na umiza kichwa sana, ni kwanini wanawake wanatuomba hela sipati majibu kabisa

Awe sio mkeo anaomba hela

Awe ni mkeo anataka hela

Awe ni rafiki wa kike anaomba hela

Awe ni mpenzi au mchumba anaomba hela

Awe hata ndo umetoka mtongoza anaomba hela

Ni kwanini basi wanawake wanatuomba hela sisi wanaume , hata akiwa na kazi atomba hela haijalishi ana hela nyingi bado ata omba na akiwa hana kazi ataimba hela na papuchi atatafuta namna akupe ili aendelee kukuchuna.

Je, ni kwanini?
Nafikiri tuna budi kulaumu mfumo dume ambao uliwafanya wanaume kuwa walezi na wanawake. Mfumo huu unakua na mantiki tu katika jamii ambayo haija endelea, lakini jamii iliyostaarabika.... wanaume na wanawake wana fursa sawa za kiuchumi.
 
Hua najiulizaga hivi wanajinaje?
Msichana Anaamini anapaswa kupewa pesa hata na mtu Asiyekua na uhusiano naye wowote...

Kuna demu nafanya naye kazi, Yaani mnaweza mtoke muende sehemu flani, yeye anajisemesha "Yaani natembea na wanaume hata hamninunulii kitu, acha/acheni ubahili" hayo maneno na mengine ya kukufanya ujisihi inferior kazoea sanaa,

Sasa asivyojua hayo maneno mbele ya pesa yangu ni kelele tuu, naweka pamba, na kupitia mazungumzo yake nikagundua ana mdomo mkali balaa, kwahio Kila anachoongea kupima kina, Nakaa kimya au kutabasamu kw kuguna, Mara anajinunisha, nikikaza anajirudi, kwa ufupi ana haha sana, Anachoboa ni kwamba hata ukimtenga anajileta..

Anamnyoosha huyo Mshkaji wake mpaka hatarii, hilo halinihusu, alkini how me?
 
Mh ukimtongoza akikuomba hela ujue hakutaki mkuu anatafuta kijisababu cha wewe kuondoka
Hebu fafanua hapa wanaume tupone maana kuna wale hawaombi hela kabisa mwanzoni, unakuta hana time na hela zako kabisa ila anakuchanganya kukupenda na unaona kabisa hapa mtaenda the ndiyo anakuja kuomba hela baada ya week tatu au mwezi hii imekaaje dada yangu ?
 
Hapa na umiza kichwa sana, ni kwanini wanawake wanatuomba hela sipati majibu kabisa

Awe sio mkeo anaomba hela

Awe ni mkeo anataka hela

Awe ni rafiki wa kike anaomba hela

Awe ni mpenzi au mchumba anaomba hela

Awe hata ndo umetoka mtongoza anaomba hela

Ni kwanini basi wanawake wanatuomba hela sisi wanaume , hata akiwa na kazi atomba hela haijalishi ana hela nyingi bado ata omba na akiwa hana kazi ataimba hela na papuchi atatafuta namna akupe ili aendelee kukuchuna.

Je, ni kwanini?
Kwa sababu hauna akili
 
Kuna lingine hapa nimekutana nalo jana kwenye event flan
Kosa kufahamiana na kubadilishana namba. Likaanza bro sina vocha, nikalipa gwala liweke vocha.
Leo asubuhi naamka nakuta miss call 2. Mara paap sms, bro nna shida ya alfu kumi naomba nisaidie.
Daah... Kuna midem ina njaa hadi kero!
Sometime hata km ni njaa wasijionyeshe sana.
Hata km ulikuwa na mpango nae lazima utoke Nduki
 
Kesho mwambie aje kuchukua, kama atakuja kweli au laah.... utapigia msitari.
 
Back
Top Bottom