Hivi ni Kwanini Wanajeshi...

Hao kijeshi wanaitwa(other ranks) yaani vyeo ambavyo tayari vina ukomo tofauti na maofisa ambao wana nyota 1,2 na kuendelea....Ila wakija hapa watakuambia mambo ya jeshi huwa hayajadiliwi!
 
Na hao ndio wapiganaji wa vitani wenyewe hao. Hao wastaarabu unaowasema ni wakaaji tu ofisini.
Jeshini kadri unavyopanda cheo ndivyo unazidi kurudi nyuma katika uwanja wa vita private na coplo ndio wapo front sasa askari awepo front awe na roho kama Kakobe? Lazima uwe umevurugwa ili usonge bila woga na hizi ni tabia za Majeshi yote Duniani sio TZ tu na hata hao Generals walikuwa askari before kwa hiyo wapo hivyo hivyo.
 
afu watu lazima muelewe;
binadamu yeyote tabia yake inaathiriwa na mazingira aliyokuwepo. hakuna mwanajeshi ambaye akili zake ziko sawa(haijaathiriwa) sio kwa ubaya lengo ni kuwaondoa umaarufu/tabia za kimama na kuwafanya watu wenye kauli yenye msimamo ukiambiwa kaa chini ukae kweli bila kujiuliza maswali.
Sasa utakuwa mwanajeshi wa ajabu unatukanwa kidogo unalia au unatishwa unateteleka.
Ndio maana hawa kuanzia private had w/officer wanakuwa na wakali kwa sababu wanatumika sana kijeshi,kuanzia kutoa mafunzo ya ukuruta na operation mbalimbali za kivita japo hao hawaongozi..
 
Ni kweli mtu mwenye elim ndogo au asiyesoma hana busara???
 
Umemaliza kila kitu, huo ndiyo ukweli ingawa siyo wote!
 
Hapo vice versa. Wapo wenyewe elimu kubwa ila hawana busara
Maana naona kama Tanzania yetu hii walim wa UPE ndo wametufundisha kusoma,kuandika na kuhesabu,lakini maprofesa huko chuo hata kudeliver concept hawawez,wasomi ndo wameonekana wezi na wabadhilifu hasaaaa makazini
 
Elimu ya chini ndo ipi? au ndo ile ukitaka kuipata lazima uiname? au je elimu ya juu ndo ile kuipata kwakwe mpaka upande juu ya stuli/kigoda ndo uipate?
 

Sasa Hapa Umetoa UFAFANUZI au UMETUGOMBEZA? au Na Wewe Ndiyo Wale Wa Kuanzia Fungu La Pili Tajwa Hapo Juu?
 
wanajeshi ambao sio commisioner mara nyingi wana athariwa na uwanja wa vita au operation mbalimbali wanazozifanya. unamkubuka yule askari wa marekani aliye athiriwa na operation za kivita mpka kupelekea kuingia mitaani na kuua watu ovyo,huyo alikuwa koplo alikuwa kila vita lazima apangwe hasa utakuta ndani ya mwaka mmoja kapigana vita/operation zaidi ya tano afu zote nzito na si za mda mfupi almost 4 month.

Kule kwenye uwanja wa mapambano no utoto wa mama ni mashambulizi kwa kwenda mbele utakuta mtu kakatwa kichwa mbele yako,umempiga risasi mama mjamzito. Sasa ukiangalia hapo akili yake lazima iathirike, anakuja uraiani afu unamjibu ovyo atakuvunja mguu ndugu...
 
Delete away your thread kabla hujachafua hali ya hewa, umekurupuka kuandika usichokijua

Halafu UONE Kuwa NINAKUBALIKA Humu SIJAWAHI Kuanzisha UZI Usichangamkiwe Na Usichangiwe Na Members. Sasa Wewe Ukisema Niufute Wenzako " Wanatiririka " Nao Tu. Huyu Ndiyo " Le Mathematicien GENTAMYCINE " Nawachezesha Ninavyotaka Huku Mkini Follow. au Hujui Mkuu Kuwa Kuna Members Humu WAKIAMKA Tu Asubuhi Kwanza Wanaangalia MWANAMUME Nime Post Nini au Nimeanzisha UZI Gani. KUKUBALIKA Na KUPENDWA JF Napo Ni " NYOTA " Lakini Pia Inaonyesha Jinsi Gani " UNAKUBALIKA ". Sasa Anzisha Wewe UZI Wako Uone Kama Watu " Wataukodolea " au " Kutiririka " Nao. Na Hapa Nimekuchokoza Makusically Kabisa Ili UHAMAKI Halafu Unijibu Hovyo Nikumalize Na Moja Tu UKAPUMZIKE Nalo. Sasa Hivi Kichwa Kimeshachangamka Na Bidhaa Adimu Ya Tarime, Longido, Makambako Na Lilongwe!
 

Na Ugomvi Wangu Mkuu Na Huyu MJEDA Niliyempa " NAKOZ " Za Kufa Mtu Ni Kitendo Chake Cha Kumpiga KIBAO Mshikaji Wangu Kisa Wanagombania DEMU Ndipo Nikamwambia Kijana Kuwa Akae Pembeni NIMFUNDISHE MTU ADABU Na Hakika Cha Moto KAKIONA. Halafu Nasikia Alivyoenda Kambini Kwao Kawaambia MASELA Wake Ili WAJE KITAA USIKU Leo Wanivizie Na Mimi Pia Nikatoa TAARIFA Huko Huko Kupitia MSHIKAJI Wangu MJEDA Mwenzao Kuwa Hata WAKIJA KUNDI KWANGU ILA WAKAE WAKIJUA KUWA VITA YA MKURYA HUWA HAIISHI LEO WALA KESHO Na Wakifanya MZAHA Hata Hiyo Kambi Yao INAWEZA IKAHAMA Hapo Kwa FUJO Zangu Za KUTUKUKA. Halafu Viaskari Vyenywe Ni Vidogo Lakini Vina SIFA KWELI Mkuu. Mbona WAKUBWA Zao Wengi Ni Washikaji Zangu Na Tunaheshimiana Iweje Hivi Vitoto Vya Juzi Vimefundishwa Tu Kugalagala Chini, Kuruka Vihunzi, Kutambaa Kama Mjusi Pori Katika Kamba, Kufyeka Hapo Lugalo, Kuruka Sarakasi Na Kufyagia Makambini Leo WAJIFANYE Wao Ndiyo JESHI KAMILI?
 

Posts Zako Zinaonyesha Kabisa Ni Jinsi Gani Jeshi Letu La Sasa Lina WAPIGANI Pentium Zero Kabisa Hivyo Kuna Haja Ya Kufanya Restructure Ya Jeshi Letu. Majibu Yako Yamemtia Mno AIBU Generali Ninayemkubali CDF Wenu Kwani Kwa Ninavyomjua Yeye Angejibu Asingenijibu KIPOPOMA Hivi. Endelea Mkuu Kutuonyesha KIWANGO Chako KIBOVU Bora Cha Upungufu Wa FIKRA. Na Nina Uhakika Kuwa Kwa Majibu Haya Wewe Ndiyo Wale Wale Wa Fungu Langu Lile La Pili La Kuanzia Private Hadi Warrant Officer. Pole Sana!
 
Naona unajaribu kutaka kunijua
 
Kuwa na amani bro naongea kwa uelewa wangu juu ya JWTZ maneno yangu sio sheria wenyewe wanajua namna ya kuelezea ivi vitu ila huku mtaani tunaeleaza kwa ujuaji wetu braza.
 

Mkuu Ungesema Tu Kwa Lugha Yetu Adhimu Ya Kiswahili Kuwa Wanajeshi Ambao HAWAJATUNIKIWA Na AMIRI JESHI MKUU Huwa Wanaathiriwa Ungeeleweka Vizuri Tu Sasa Ndugu Yangu Umetaka Kutuonyesha Kuwa Hukukimbia " Umande " Umetuandikia Hapo Nanukuu " Wanajeshi Ambao Sio Commisioner " Imebidi Nishtuke Kidogo Kama " Wordsmith " Tena Niliyetukuka. Nadhani Kama Nia Yako Tujue Na Wewe Umesoma Soma Kidogo Basi Ungesema Tu " Wanajeshi Ambao Siyo Commissioned " Ungeeleweka KUNAKOTUKUKA Na Intellectuals Na Academicians Tuliojaza Humu. Mimi Mtanzania Mwenzako Nimekuelewa Na Nimekusamehe Ila Vipi Kwa Wenye Lugha Yao Hiyo Wakenya Na Waganda Waliopo Humu JF Kwa Uwingi Wao? Kwani Mkitumia Tu KISWAHILI Kama Mimi Hamtajulikana Kuwa Mmesoma?
 
Jeshini Hakuna Mpole Kule Unafundishwa Kuua Tu Na Ndo Maana Wanajeshi Wote Hawako Vizuri Kiakili Muda Wote Wanawaza Mapambano Tu So Suala La Kuonekana Wakorofi Ni Nature Ya Mafunzo Yao Wanayopitia Ndio Yanayowafanya Wawe Hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…