GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,061
- 126,625
Umemaliza mkuu hakuna la ziadaNdugu yangu shule nayo inasaidia mtu kuwa mstaarabu wale wenye vyeo vya chini non~officer elimu zao wengi wao ni za chini wapo waliofika 4m4 kwa kifupi darasa lao kichwani ni dogo ndio maana wasumbufu ila ubabe,usumbufu,ugomvi&matumizi mabaya ya fedha ni tabia za mtu sio tabia za jeshi
Kwa sababu wengi wao wana D moja moja tu za kiswahili....alafu wanakuwa hawajaelimika wanakuwa wamejifunza zaidi kutumia manguvu bila akili....lakini wale manyota wao wanakuwa wameenda shule kidogo maana miaka ya nyuma kule form six unapewa nyota moja akati majeshi mengine kama Police form six zipo nyingi sana,,degree ndo usisemeWenye Vyeo Vya Kuanzia Second Lieutenant Hadi Cheo Cha General Huwa Ni:
Na Wenye Vyeo Vya UGOKONI Kuanzia Private Hadi Warrant Officer Huwa Ni:
- Wastaarabu
- Wana Hekima
- Wanajitambua
- Wakarimu Na Marafiki Wazuri
- Hawana Makuu Wala Dharau
- Wana Nidhamu ILIYOTUKUKA
- Hawana Uhuni Na Siyo MALAYA
- Wagomvi Hasa Mitaani
- Wababe Wa Kipuuzi
- Hata Ukikaa Nao Kijiweni Hakuna Madini Wanayoyatoa Katika Vichwa Vyao
- Wana Matumizi Mabaya Ya PESA
- Omba Omba Sana Pindi Wakiishiwa
- Hawapendi Kujiongeza KIELIMU
- Wanapenda Mno SIFA, Wana DHARAU Na Wanapenda Kuogopwa Na Raia
Iko siku nitakuja kupata kesi ya hao ......ma.........
Mimi Hivi Ninavyokuambia Ndiyo Natoka Kuwekewa Dhamana Kwani Kuna Mmoja " Kajipendekeza " Na Mikwara Yake Ya " DRILLS " Zao Nikamwambia Kuwa Kuzaliwa Tu Mtu Wa Mkoa Wa MARA Tayari Kijeshi Wewe Ni PRIVATE Wa Jeshi Hivyo Nilichomfanyia Atawasimulia Wenzake Halafu Bahati Nzuri au Sijui Mbaya Nilimpompa SALAMU Za Wana Mkoa Wa MARA KIMAPIGANO Nikamwambia Naenda Tena KUMSHTAKI Kwa Wakubwa Zake Ili Pia Huko OFISINI Kwake " KINUKE " Hasa Ukizingatia Kuwa Tangia Enzi Na Enzi Maana Iliyo Wazi Ya JWTZ Ni " JESHI LA WAKURYA TOKA ZAMANI " Najua Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu Na Warangi Kwa WIVU Wao Watakataa Ila Ndiyo Ukweli Wenyewe.
Mwisho Nitoe Tu RAI Kwa WAKUU WA HAWA WANAJESHI HEBU JARIBUNI KUWAFUNDISHA NIDHAMU NA MUWAAMBIE KUWA HUKU MITAANI KUNA WATU WANA MAFUNZO YA KIMAPIGANO YALIYOTUKUKA KULIKO HATA HAYO MNAYOWAPA ILA TUNAWAHESHIMU TU NA KAMWE WASIJE KUTUDHARAU VINGINEVYO WAKIENDELEA NA HIZI TABIA ZAO ZA KIBABE HAKIKA TUTAKUWA TUNAWAPIGA KILA UCHAO. Pole Sana Wewe Mwanajeshi NILIYEKUPIGA ILA SIKU NYINGINE USIMPIME MTU KWA KUMUANGALIA TU KWANI WENGINE TULILETEWA MAOMBI YA KWENDA KUMFUNDISHA NGUMI BONDIA FLOYD MYWETHER ILA HARAKATI ZA MAISHA ZILINIZUIA KWENDA ILA HATA HIVYO NI JANA TU NIMEPOKEA MAOMBI YA KWENDA KUMPA MAZOEZI YA AWALI YA KUNG FU NA KARATE Muigizaji SINEMA MAARUFU DUNIANI Jack Chan Kabla Hajaanza Shooting Ya Video Yake Mpya. Na Hicho KIPIGO Nilichokupa Nilitumia Tu Mbinu Za Mwaka 1996 Sijui KAMA Ningesema Nitumie Hizi Mbinu Mpya Za 2016 Kama Ungeamka Leo!
Afande Super Handsome Jaribu Kuwafundisha Vizuri WANAJESHI Wak Namna Ya Kuishi Vizuri Mitaani Na Sisi RAIA MASELA.
wale wote namba moja mpaka saba mara nyingi wanakuwa graduate kwa hiyo moja kwa moja huwa wanajifunza mambo ya management vyuoni lakini hawa ndugu zangu kuanzia namba nane mpaka mwisho utakuta wengi ni wale waliomaliza darasa la saba, kwa hiyo suala la busara kichwani halipo kabisa zaidi ya kutumia nguvu na ubabe