Hivi ni kwanini unajichunguliaga mwenyewe..

Hivi ni kwanini unajichunguliaga mwenyewe..

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,096
Reaction score
51,251
Hivi ni kwanini unajichunguliaga mwenyewe....raha ee..au unaangaliaga nini wakati ukijichungulia mwenyewe..unahakikisha nini???
 
Kwekwe kwe, kama hakipo utafanya nini wewe??
 
nimezoea kuchekiwa na Asprin wakati wa ukaguzi, mie mwenyewe sijicheki ng'o! stroke mzima wewe?

Asa babu spirini huwaga anawakagua ili iweje?? mi mzima cacico maswali mengi kichwani nimeona niyapunguze kidogo hapa jeiefu
 
jamani kuna watu mna degree za kuuchuna, we si nimekuona mwenge nikakupungia, lol! mwahh cl, mzima weye?
Charming mwenge ulikua unafanya nini??
 
Nahakikisha kama bado kipo.

Btw unfortunately you found empty! Hakipo!
Hence what else? Unashtaki kwa mjumbe Mw/kiti wa mtaa ?
Au unaenda chukua RB police? Au PF3 ?
Au kwa wazee wa kamati Sumbuwanga ?
 
Back
Top Bottom